Amani mfaume
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 3,275
- 1,412
- Thread starter
- #1,361
Flat za zaman zilikua LCD za sasa led na HD na 4k pia inategemea na aina na matumizi kama unatumia king'amuzi chenye HDMI ukitumia HDMI cable hua inatoa picha clearNaombeni mnielimishe wataalam, Nimekuwa nikiangalia flats screen , Nimegundua kuna zingine picha zinakuwa na Giza Giza na zingine zinatoka vizuri sana picha zake. Sasa HIi husababishwa na nini?
Post sent using JamiiForums mobile app