INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

nataka printer zinazo print t shirt.
 
Attachments

  • anajet_sprint-250x250.jpg
    anajet_sprint-250x250.jpg
    5.3 KB · Views: 84
Bosi, Umesema Soni wako juu, Hebu tueleze sisi Wasukuma wa kuja , Kwanini Zipo bei juu? Ubora wake ukoje ? Has a katika equality ya picha? Maana nimeona hapo juu umetaja screen za inchi 32 Bei zikiwa tofauti tofauti bila ya bei ya juu ili kuwa son I, Sasa
 
Mkuu hivi vifaa niulizie bei huko,nipo Tunduma- Songwe
Na njoo tuyapange WhatsApp kwa sababu Nina shida nacho
Utanijuza shipping fee na gharama yake

Ntashukuru ukinisaidia kwa hilo,mdogo wangu anasumbuliwa na macho nataka nimchukulie hicho kifaa[emoji336] [emoji336] [emoji342]

Sent using Jamii Forums mobile app
053efe9277a1920e8f7d85206389cc93.jpg
[/QUOmkuu Hiki kifaa kinaitwaje na kifanyaje kazi?
 
Bosi, Umesema Soni wako juu, Hebu tueleze sisi Wasukuma wa kuja , Kwanini Zipo bei juu? Ubora wake ukoje ? Has a katika equality ya picha? Maana nimeona hapo juu umetaja screen za inchi 32 Bei zikiwa tofauti tofauti bila ya bei ya juu ili kuwa son I, Sasa
Sony wame jibrand vizuri swala la ubora wa bidhaa zao hautofautian na bidhaa nyingine zenye majina makubwa ila sony hawana copy za bidhaa zao ukilinganisha na bidhaa nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Amani mfaume naulizia kama mnazo external disc ya 1TB.

Aina gani mnazo na bei ni kiasi gani.

Thanks.
 
Bosi, Umesema Soni wako juu, Hebu tueleze sisi Wasukuma wa kuja , Kwanini Zipo bei juu? Ubora wake ukoje ? Has a katika equality ya picha? Maana nimeona hapo juu umetaja screen za inchi 32 Bei zikiwa tofauti tofauti bila ya bei ya juu ili kuwa son I, Sasa
Sony hawa jamaa kwa kibongo bongo bidhaa zao ni imara sana binafsi nawakubali sana mimi mpaka mswaki natumia wa Sony![emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom