Mkuu hivi vifaa niulizie bei huko,nipo Tunduma- Songwe
Mkuu hivi vifaa niulizie bei huko,nipo Tunduma- Songwe
Na njoo tuyapange WhatsApp kwa sababu Nina shida nacho
Utanijuza shipping fee na gharama yake
Ntashukuru ukinisaidia kwa hilo,mdogo wangu anasumbuliwa na macho nataka nimchukulie hicho kifaa[emoji336] [emoji336] [emoji342]
Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOmkuu Hiki kifaa kinaitwaje na kifanyaje kazi?
Sony wame jibrand vizuri swala la ubora wa bidhaa zao hautofautian na bidhaa nyingine zenye majina makubwa ila sony hawana copy za bidhaa zao ukilinganisha na bidhaa nyingineBosi, Umesema Soni wako juu, Hebu tueleze sisi Wasukuma wa kuja , Kwanini Zipo bei juu? Ubora wake ukoje ? Has a katika equality ya picha? Maana nimeona hapo juu umetaja screen za inchi 32 Bei zikiwa tofauti tofauti bila ya bei ya juu ili kuwa son I, Sasa
mbona hunijibu kama unazo hizo mashinenataka printer zinazo print t shirt.
Mkuu ile optical cable bado unayo? Kama ipo nitapata kwa bei gani??
Utaipata boss utanipa 40Mkuu ile optical cable bado unayo? Kama ipo nitapata kwa bei gani??
Ipo 185000Mkuu Amani mfaume naulizia kama mnazo external disc ya 1TB.
Aina gani mnazo na bei ni kiasi gani.
Thanks.
Sony hawa jamaa kwa kibongo bongo bidhaa zao ni imara sana binafsi nawakubali sana mimi mpaka mswaki natumia wa Sony![emoji38]Bosi, Umesema Soni wako juu, Hebu tueleze sisi Wasukuma wa kuja , Kwanini Zipo bei juu? Ubora wake ukoje ? Has a katika equality ya picha? Maana nimeona hapo juu umetaja screen za inchi 32 Bei zikiwa tofauti tofauti bila ya bei ya juu ili kuwa son I, Sasa
Tatizo wateja wanaogopa bei zao ziko juuSony hawa jamaa kwa kibongo bongo bidhaa zao ni imara sana binafsi nawakubali sana mimi mpaka mswaki natumia wa Sony![emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Amani mfaume naulizia kama mnazo external disc ya 1TB.
Aina gani mnazo na bei ni kiasi gani.
Thanks.