Soma uelewe hakuna nilikoandika kuwa nilihitaji kifaa ulichopata wakawa hawana na yawezekana na wewe ni walewaleAcha uongo wewe, mi nimeshanunua hapo homethietre, smart TV, fridge, wala hakuna utapeli, labda ulijitapeli mwenyewe....jamaa wapo vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
napataje hiii, niko Simiyu.
unaipata tu mkuu ni utayari wako tunapataje hiii, niko Simiyu.
Ngw'ana Kabula
Hana zile za nifuate pm.Huyu jamaa yupo vizuri kwenye marketing
280000 tsh
hizi zinakuja na home theatreSamahani kiongozi nitapata Deck ya Sony ya toleo hilo chini. Maana mm deck yangu imefeli upande wa spika kubwa haitoi sauti ila spika zipo fresh tu. View attachment 585657
Sent using Jamii Forums mobile app
chukua samsung nch 48 kama unahitaji kweli warrant 2years unapewa na warrant card unapata na tv guard na wallmount bei 1750000Mkuu OLG LED 48 au 50' ya kuweka ukutani inaenda vipi? full warrant!