INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

1742eb7e2ac1a881772fe352d12ab182.jpg
d35f9713d6dfccd1dbc350fda734b9b9.jpg
355572a2b8ee4de14d40d861cd9df02d.jpg
Tunaendeleza huduma popote tunafika karibu kwenye familia yetu kubwa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaan kwenye wiz usitie doa !!? nilishafika hapo wanakoelekeza watu ukienda hakuna kitu ukiwauliza kitu flan wanaaza kutaftana na kutafta duka jingine ambalo sio lao, na ndiomaana wanasisitiza et watadeliver wenyewe na usiende dukani kwao.Ujinga mtupu.
Acha uongo wewe, mi nimeshanunua hapo homethietre, smart TV, fridge, wala hakuna utapeli, labda ulijitapeli mwenyewe....jamaa wapo vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom