INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

ahsante kwa taarifa mkuu afu usipende kutia dosari kwenye jitihada za wenzako

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan kwenye wiz usitie doa !!? nilishafika hapo wanakoelekeza watu ukienda hakuna kitu ukiwauliza kitu flan wanaaza kutaftana na kutafta duka jingine ambalo sio lao, na ndiomaana wanasisitiza et watadeliver wenyewe na usiende dukani kwao.Ujinga mtupu.
 
Iweje kwenye simu mnasema ni vipya mtu anapokuja kununua unabadirika na kusema used??, nilikuja hapo kununua laptop lakn kila mtu alikuwa anataftana mwenzake utadhan nimeuliza kiungo cha binadamu.
 
Nimependa utangazji wako.Mimi Niko.mikoani.nahitaji TV ya DC CURRENT maana Niko natumia solar system kwangu he unazo na bei ni.gani mfano ya 32 au 49

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale wanaopenda aircooler please dont buy them.. They are useless/money pit.. Hakuna laana zinafanya hzi mashine na ni mbovu sana na hazina tofauti na feni ya kawaida.. Naitumia so naongea kwa uzoefu... Imagine unanunua aircooler ukitegemea ikuokoe na joto la mjini ila nothing.. Kama mtu unaweza hyo bei ya laki 5 badala ya kununua aircooler ni bora ukatafute hata air conditioner used btu 12000 uta furahia upepo wa mzungu ingawa umeme inatafuna..but ukiwa mjanja usiweke baridi kali labda mpaka 16°c au 18°c maana hapa mashine itatumia muda mwing kupoza mpaka kufikia joto hlo, ila ukiweka baridi kama 25°c hapo umeme auendi mwing maana kupoza joto mpaka 25°c ni rahisi so mashine itakua ina operate mara chache na ku-save bill.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
naomba kufahamishwa hii home theatre with blueray ni Wifi au unatumia local cable, pili naweza itumia bila internate majibu please na bei inapungua mpaka 800
mkuu hizi zonatumia local cable labda nikupe sifa za bluray nikwamba zinaweza kuplay CD zozote ambazo deki nying haziplay mfano 3d etc kuhusu bei ukija ofisini tutakupunguzia japo hashuki kweny tisa na something ila kuna za LG zenye sifa hizo tutafanya biashara tu boss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
fefe0d1539b6e30e45f1f34e6a5f52a7.jpg

Home theater zec
With USB memory card
FM radio stations
Watt 250
Price195,000
Mkuu hii inapunguaje

Bless I
 
nitakaribia mimi ni mpenzi sony, najua sony hamna copy na mziki wake dunia unajua, je naweza tumia kama deki ya kawaida kama sina local internate cable
mkuu hizi zonatumia local cable labda nikupe sifa za bluray nikwamba zinaweza kuplay CD zozote ambazo deki nying haziplay mfano 3d etc kuhusu bei ukija ofisini tutakupunguzia japo hashuki kweny tisa na something ila kuna za LG zenye sifa hizo tutafanya biashara tu boss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom