Amani mfaume
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 3,275
- 1,412
- Thread starter
-
- #1,661
mkuu nikikosea nisawazishe ni milion 2 laki nne nanusuDuhh Milioni ishirini na NNE na laki tano? Hiyo ni ya akina baharesa.24500,000/!!?
Shekhe Amani asante, nitawasiliana nawe nikiwa Dar end of this week. Shukrani
shukran maalim mungu akupe uzima upate kuja kuniunga mkonoShek
Shekhe Amani asante, nitawasiliana nawe nikiwa Dar end of this week. Shukrani
tupo kwajili yako mkuu karibuNtawatafuta siku
Nothing to fear than fear itself
Mkuu hizo speaker ni wireless? Vipi nje ya Dar mnatuma?
tunatuma popote Tanzania spika za kawaida mkuuMkuu hizo speaker ni wireless? Vipi nje ya Dar mnatuma?
Speakers ni wireless?
hapana ni spika za kawaida mkuu yenye spika za wireless dukani hatuna ila kama unahitaji huwa tunaagiza zinakuja kwa oda maalum bei m2.6Speakers ni wireless?