Amani mfaume
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 3,275
- 1,412
- Thread starter
- #1,681
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mambo VP hivi hii washing machine kama hii ninaweza kuitumia commercial.. Maana nilikua na waz niwe na Mashine kama hii niweke eneo MF chuo niwe nawafulia wanafunz kwa bei poa ushauri please maana Cio mzoefu na vipi suala la kukausha pia...
ndio mkuu unafua na kukaushaMkuu mambo VP hivi hii washing machine kama hii ninaweza kuitumia commercial.. Maana nilikua na waz niwe na Mashine kama hii niweke eneo MF chuo niwe nawafulia wanafunz kwa bei poa ushauri please maana Cio mzoefu na vipi suala la kukausha pia...
mkuu ile mashine ya kukatia viazi vya chipsi mnayo? na ni sh ngapi?![]()
![]()
![]()
![]()
Rice cooker 1.8 litres
price 80,000
ile mkuu hatuna ila kama unahitaji nikipata muda nikakuulizie kwa wapembamkuu ile mashine ya kukatia viazi vya chipsi mnayo? na ni sh ngapi?
hapana mkuuHii kitu ninaweza kuipata kwenu? Kama inapatikana ni kwa Tsh ngapi hasa? View attachment 591573
ukipata muda basi fanya hivo mkuuile mkuu hatuna ila kama unahitaji nikipata muda nikakuulizie kwa wapemba
nimeona hapo umeandika vifaa vya saluni za kike. blow dryer lenye chanuo unauza bei gani?
kesho takuulizia mkuu leo niko tight kidogo afu sipo kariakoonimeona hapo umeandika vifaa vya saluni za kike. blow dryer lenye chanuo unauza bei gani?