INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

0718791db95e0505c2961cb8e37518ee.jpg
 
Mkuu mambo VP hivi hii washing machine kama hii ninaweza kuitumia commercial.. Maana nilikua na waz niwe na Mashine kama hii niweke eneo MF chuo niwe nawafulia wanafunz kwa bei poa ushauri please maana Cio mzoefu na vipi suala la kukausha pia...
ndio mkuu unafua na kukausha
 
mkuu ile mashine ya kukatia viazi vya chipsi mnayo? na ni sh ngapi?
 
9d955c0de0758c3b623659420f72f807.jpg

LG home theatre 1000watts
DVD player full hd
With hdmi port
usb port
fm radio
inauwezo wa kutumia wirelss kupitia tv za smart LG
price 800,000 tu
changamkia ofa
 
nimeona hapo umeandika vifaa vya saluni za kike. blow dryer lenye chanuo unauza bei gani?
 
Back
Top Bottom