Amani mfaume
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 3,275
- 1,412
- Thread starter
-
- #1,901
TCL nch 32 bei 480,000 na nch 40 bei 800,000 ni smartMkuu Tcl inch 32 au 40 naomba bei
Hiyo 480,000 ni smart or ?TCL nch 32 bei 480,000 na nch 40 bei 800,000 ni smart
kawaida ya smart 520,000Hiyo 480,000 ni smart or ?
ipi bossHii bei gan?
hizi sahv hakuna boss ilikua na kampuni moja yakichina ilikua haina brand name walicho kua wanafanya wanaweka stika za kampuni yyt japo zilikua nzuri chukua SONY ujakika zaidiAina gani mkuu
hizo hakuna bossMeza kam ii mnayo? Ni sh ngap?
Hii bei gani?
Punguzo?Hii bei gani?
Unaweka maji ya kawaida tu au lazima yawe ya baridi ..pili utumiaji wa umeme ukoje tatu Tcl inch 32 smart sh ngapi mkuu.Air cooler unaweka maji inatoa ubaridi kama ac inatoa bei 280k
maji unaweka yakawaida umeme inatumia kama wa feni yakawaida tcl smart bei 520,000Unaweka maji ya kawaida tu au lazima yawe ya baridi ..pili utumiaji wa umeme ukoje tatu Tcl inch 32 smart sh ngapi mkuu.
65000Mkuu zile hair dryer ndogo za nyumbani bado unazo? Na shs ngapi?