INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

a0599ec5da386794fd21fb393ab22e6b.jpg
6a0d7458bfdcc7f06f178830918a746e.jpg
ee8cc69c6e08036836bb4649e6787375.jpg
3c1bfe6f08179a4429218d35e4fe60cf.jpg
099d0db0c9ed8c6bd144499ec756b203.jpg
9b6649d30018c980de2727f322ea5764.jpg
20bef580c742cfd443a570b728dfa3e2.jpg
b6d6db2b1012c8ab0c1b2b6d18b1ecf3.jpg
Hiyo blender bei yake mkuu
 
TUNA BIDHAA ZA MAJUMBANI NA OFISINI TUPO KARIAKOO MSIMBAZI AZANIA BENKI TUNA FANYA FREE DELIVERY NDANI YA DAR ES SALAAM PIA TUNA TUMA MIKOA YOTE TANZANIA KWA UMAKINI ULIO TUKUKA KARIBU UJIUNGE NA FAMILIA YA NAFUU ELECTRONICS UFURAHIE HUDUMA BORA NA ZENYE UHAKIKA. KWETU MTEJA NI ZAIDI YA MFALME
BIDHAA ZETU NI
[emoji116]
Home theater aina zote
Amplifier aina zote
Friji friza aina zote
Water pump aina zote
Majenereta aina zote
TV flat za kisasa aina zote
Redio aina zote
Printers aina zote
Meza za urembo na TV aina zote
Redio za gari na spika Zake
Ac fane air cooler aina zote
Computer na laptop aina zote
Vifaa vya saloon za kike na kiume
Solar panel na vifaa vyake
Tv za solar
Projecta aina zote
Na bidhaa nyingine nyingi kwa bei nafuu
Usisumbuke mteja wetu tunakuletea bidhaa hadi mlangoni okoa muda wako kwa kufanya mambo mingine kazi ya kukuletea mzigo ni juu yetu
Phone + whatsapp no 0672852415
Call 0686465857
Call 0624701269
Call 0769729897
TUMEANZA NA MUNGU NA TUTAMALIZA NA MUNGU SHETANI HANA NAFASI
e38b9fef9515ca9c08f55689a3f861c3.jpg

With Bluetooth memory card and flash
FM radio remote control
Price 310,000

Mawasiliano: 0672852415
Mkuu Amani mfaume una freezer za Syinix?. Naomba bei ya kila saizi. Pia kama huna nipe bei za aina ulizo nazo kwa saizi zote ukiachana na ile ndogo ya kwanza na ya pili. Niliku pm naona kimya.
 
Naweza pata wireless microphone...zile za kuvaa kichwani?? Kama anazotumiaga mwakasege?? Je kama unazo ni aina gani?? Na muonekano wake upoje?? Na bei yake ni sh ngap? Na jee uwezo wake ni wa umbali gani?? Nijuze pls..
 
Naweza pata wireless microphone...zile za kuvaa kichwani?? Kama anazotumiaga mwakasege?? Je kama unazo ni aina gani?? Na muonekano wake upoje?? Na bei yake ni sh ngap? Na jee uwezo wake ni wa umbali gani?? Nijuze pls..
umbali mita 100 ni nzuri universal hazichagui spika mangi afu kama nishakutumia watsapp
 
Kasungura flat 50inch being gani
mangi hili jina umelipata wapi? Ok inch 50 bei zinatofautiana kulingana na makampuni samsungi ni 1,800,000
singsung ni 1,200,000
homebase 1,200,000
starx ni 1,150,000
LG ni 1,450,000 ila nch 49
 
Mods tunaomna report ya mapato na matumizi...
Naona matangazo yanatulipa sana siku izi
 
Back
Top Bottom