Amani mfaume
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 3,275
- 1,412
- Thread starter
- #1,881
TCL sahv 480,000TCL 32 SH NGAPI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TCL sahv 480,000TCL 32 SH NGAPI
550,000Panasonic 32 nayo bei gani
ndio mana TCL ni smart pia na TCL ndio HitachiDah ok bora Tlc ntakuja kiongozi
Nzuri na zinadumVipi ubora wake
Hiyo blender bei yake mkuu
285,000Hiyo blender bei yake mkuu
Na hiyo deluxer juicer mkuu bei yake
Na hiyo deluxer juicer mkuu bei yake
Mkuu Amani mfaume una freezer za Syinix?. Naomba bei ya kila saizi. Pia kama huna nipe bei za aina ulizo nazo kwa saizi zote ukiachana na ile ndogo ya kwanza na ya pili. Niliku pm naona kimya.TUNA BIDHAA ZA MAJUMBANI NA OFISINI TUPO KARIAKOO MSIMBAZI AZANIA BENKI TUNA FANYA FREE DELIVERY NDANI YA DAR ES SALAAM PIA TUNA TUMA MIKOA YOTE TANZANIA KWA UMAKINI ULIO TUKUKA KARIBU UJIUNGE NA FAMILIA YA NAFUU ELECTRONICS UFURAHIE HUDUMA BORA NA ZENYE UHAKIKA. KWETU MTEJA NI ZAIDI YA MFALME
BIDHAA ZETU NI[emoji116]
Home theater aina zote
Amplifier aina zote
Friji friza aina zote
Water pump aina zote
Majenereta aina zote
TV flat za kisasa aina zote
Redio aina zote
Printers aina zote
Meza za urembo na TV aina zote
Redio za gari na spika Zake
Ac fane air cooler aina zote
Computer na laptop aina zote
Vifaa vya saloon za kike na kiume
Solar panel na vifaa vyake
Tv za solar
Projecta aina zote
Na bidhaa nyingine nyingi kwa bei nafuu
Usisumbuke mteja wetu tunakuletea bidhaa hadi mlangoni okoa muda wako kwa kufanya mambo mingine kazi ya kukuletea mzigo ni juu yetu
Phone + whatsapp no 0672852415
Call 0686465857
Call 0624701269
Call 0769729897
TUMEANZA NA MUNGU NA TUTAMALIZA NA MUNGU SHETANI HANA NAFASI
![]()
With Bluetooth memory card and flash
FM radio remote control
Price 310,000
Mawasiliano: 0672852415
umbali mita 100 ni nzuri universal hazichagui spika mangi afu kama nishakutumia watsappNaweza pata wireless microphone...zile za kuvaa kichwani?? Kama anazotumiaga mwakasege?? Je kama unazo ni aina gani?? Na muonekano wake upoje?? Na bei yake ni sh ngap? Na jee uwezo wake ni wa umbali gani?? Nijuze pls..
mangi hili jina umelipata wapi? Ok inch 50 bei zinatofautiana kulingana na makampuni samsungi ni 1,800,000Kasungura flat 50inch being gani
zipo saizi yakati sansan na pintech, boss na home base bei 550,000 kubwa zake 680,000Mkuu Amani mfaume una freezer za Syinix?. Naomba bei ya kila saizi. Pia kama huna nipe bei za aina ulizo nazo kwa saizi zote ukiachana na ile ndogo ya kwanza na ya pili. Niliku pm naona kimya.