INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

bei ya Type C hub yenye hdmi 4K HD na SSD 512 upgrade ya MacBook Pro 13'' 2017
 
Nimefika azania bank kariako leo lakini nimeshindwa kuliona hili dika Amani Mfauume naomba anayejua lilipo anielekeze vyema namba yao ya simu ya voda haipatikani hewani,nimeuliza wanasema hawajui
 
Mara nyingi huyu mfaume hayuko arround, japo mm nilifanikiwa kupata "DONGO" Na usb file transfer from phone to usb, kwa bei reasonable kutoka kwa wale washikaji aliniunganisha nao.
 
Mfaume mi nataka hiki
 
Attachments

  • FB_IMG_1508777035500.jpg
    52.3 KB · Views: 62
Mara nyingi huyu mfaume hayuko arround, japo mm nilifanikiwa kupata "DONGO" Na usb file transfer from phone to usb, kwa bei reasonable kutoka kwa wale washikaji aliniunganisha nao.
Aweke namba basi za hao ashikaji zake walio arround kama yeye hatulii,anasema duka liko azania benki nimeenda pale hamna duka wala ofisi ya faume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…