INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

4fb523703aad224c9135d5536e04101b.jpg
13e66ec963dceb5ffd41396cc07b2629.jpg

Price 400,000

Nakitaka niwe naweka tubia twanguu ..aipungui!?
 
Aisee bidhaa zaenu very cheap kama ni kweli hata huku mwanza tutaanza kuagiza vitu huko kwenu.
 
Nimependa kweli jamaa uko vizuri. Mimi lazima ninunue sema nipo Mbeya yani mngekuwa na mawakala huku kwetu ningeenda hata kesho
 
Nimependa kweli jamaa uko vizuri. Mimi lazima ninunue sema nipo Mbeya yani mngekuwa na mawakala huku kwetu ningeenda hata kesho
Hakuna kinacho shindikana tuna tuma popote Tanzania wewe tu una point sisi tuna kutumia iwe Mbeya sumbawanga au wapi kama unakua hujiamini unamtumia mtu unae mjua yuko dar unamtumia ela yy ndio anatupa sisi tunatuma ila kutumiwa tunatuma popote
 
Mkuu mi natafuta Projector BenQ DLP 1080p au Optoma HD 142X 1080p au Epson iwe na Lumens kati ya 2000 na 3500.
Resolution 1020x1080p. Picha na bei pia
 
Mkuu kwakweli nilitaka hyo sumsung, sina hakika hzo nyingine kama zina ubora kama Samsung, offer yangu ni laki tano so kama hailipi wacha nitafute tafute zaidi nitakapopata ya kuongezea nitakustua man.
Kumwelewesha mtu mwenye majibu tayari n tabu Samsung km hy hata kwa laki nne ila ila usifikiri ndio hy unayo dhan mkuu sahv soko uria usisite kuuliza nilikufahamisha post ya juu
 
Back
Top Bottom