INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

Nnimeulizia radio za magari tangia juzi naona sijibiwi poa ngoja nione tv tuu wakuu
 
5ea1d2e1a15d63c415be6fa21840430e.jpg
home theater sonny spika tano mbili kubwa tatu ndogo watts 1000 Bluetooth USB kama unavyo iona
Price 900,000 tu unaletewa popote
Mkuu hii redio mbona inapandishwa bei kila uchao, niliwacheki kwa page yenu instagram kama week 3 nyuma. Ilikuwa 750,000 nikasema nijivute ila hata mwezi haujaisha ishakuwa 850,000 na hatimae laki 9?
 
We kwa uzowefu wako tu ushawahi kuona home theater Sonny spika kubwa tano inauzwa 7.5
Ilikosewa bei mkuu pia itapungua bei kama unahitaji ila sio kwahiyo bei
 
Katika hio picha hio ni system ya spika kubwa 2 na 3 ndogo mkuu ila najua kuna ile kubwa yake pia.Mi nasemea hii sio ile kubwa!
 
Back
Top Bottom