Amani mfaume
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 3,275
- 1,412
- Thread starter
- #1,341
Pasi za kisasa inatoa maji na mvuke kubwa na nzuri
Price 48500
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
680000Jiko la gesi lenye burner 4 na oven la westpoint bei gani mkuu?
Redio ya 100000 naomba na picha yake
Mkuu nikiwa na 150 napata radio kama sample ipi na usafirishaji wake unakuaje maana nipo BABATI-MANYARA![]()
Hiyo 90000
Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
Ndiyo njia walioichagua wao kwani hawana jipya . Kila kitu huandaliwa kwa Shughuli flani, tukumbuke chuo cha magogoni ndo hawaandai hao wanaomba uongozi kwa hiyo hili sio kwa bahati mbayaMoja ya misingi muhimu kabisa kwa Taifa lolote duniani ni Umoja wa kitaifa wa Taifa hilo.
Muasisi wa Taifa hili Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alituachia urithi muhimu sana kwa Taifa letu ambao ni kuwa na Umoja, ambapo nchi yetu haikuwa na ubaguzi wa kikabila, Imani za dini au itikadi za kisiasa.
Kwa bahati mbaya, kwenye serikali hii ya CCM ya awamu ya 5 kumekuwa na viashiria vya mmonyoko mkubwa unaohatarisha msingi huo wa Umoja wetu wa nchi kitaifa kutokana na nchi kuendeshwa kwa kubaguana kutokana na itikadi za kisiasa.
Kwa Bahati mbaya vinara wa kubagua wananchi kwa itikadi za kisiasa wamekuwa ni mihimili 2 ambayo ni Spika wa Bunge letu na mhimili mwingine ni utawala ambapo ni Mkuu wa nchi mwenyewe.
Hebu nianzie na mmonyoko wa Umoja wa kitaifa unaofanywa na Spika wa Bunge letu pamoja na wabunge wa CCM ambao ndiyo walio wengi Bungeni.
Moja ya jukumu lake la msingi la Bunge lolote ni kuisimamia serikali iliyoko madarakani kwa niaba ya wananchi waliowachagua kwa kuikosoa kwa yale mambo ambayo serikali hiyo haiwafanyii vyema wananchi wake.
Kwenye Bunge letu ambalo lina makundi mawili, kundi la wabunge wa chama tawala cha CCM ambao ndiyo wengi na wabunge wenzao wa upinzani ambao ni wachache ambapo mara nyingi imeonekana kuwa wabunge wa upinzani ndiyo wamekuwa wakitekeleza kikamilifu wajibu wao mkuu wa kuisimamia serikali, huku wabunge wenzao wa chama tawala cha CCM wakiamini kuwa wajibu wao mkuu wakiwa Bungeni humo ni kuikingia kifua serikali yao iliyoko madarakani
Kutokana na kukinzana kwa fikra hizo kumekuwa na mitafaruku isiyokwisha Bungeni humo.
Nitatoa mifano michache kuonyesha namna gani wabunge wa upinzani wamekuwa wakitimiza jukumu lao la kuisimamia serikali na wenzao wa CCM wamekuwa wskiikingia kifua serikali yao ya CCM.
Tuanzie na Bunge kuonyeshwa live. Siku za nyuma tokea nchi yetu iingie kwenye mfumo wa vyama vingi Bunge letu limekuwa likionyeshwa live, lakini mara tu serikali ya awamu ya 5 ilipoingia madarakani ikapeleka hoja Bungeni la kusitisha Bunge kionyeshwa live na sababu kuu iliyotolewa ni kuwa muda huo ambapo Bunge linaonyeshwa live ni muda ambao wananchi walio wengi wanakuwa makazini kwa hiyo wanatakiwa wakati huo wachape kazi badala ya wakati huo kuwa kwenye luninga zao kuangalia Bunge live.
Hata hivyo hoja hiyo ya serikali imedhibitika kuwa ilikuwa ya uongo kwa kuwa tumeshuhudia media mbalimbali nchini zikifanya live coverage kwa matukio ya Mwenyekiti wa CCM Taifa anapofanya ziara mbalimbali nchini ambapo katika ziara hizo zinakuwa '2 in 1' kwa maana zinakuwa za kiserikali na pia za kichama.
Sasa kama hoja ilikuwa Bunge halionyeshwi live ili watu wafanye kazi badala ya kuangalia luninga, mbona kwenye hizi ziara za Mwenyekiti wa Taifa CCM vyombo vya media vinatoa live coverage wakati huo huo wa saa za kazi!?
Wazo hilo lililoletwa na serikali ya CCM lilipingwa vikali na wabunge wote wa upinzani na hoja yao kuu ni kuwa wabunge ni wawakilishi wa wananchi kwa hiyo wananchi hao waliowapigia kura na kwenda huko Bungeni wana haki ya kuwaona wabunge wao live wanavyochangia hoja mbalimbali humo bungeni ili wawatathmini na kujua ni wabunge wepi wanawawakilisha vyema bungeni na ni wabunge wepi wamekuwa wa ndiyo ndiyo humo Bungeni.
Wabunge wa CCM kwa hiyo wakaunga mkono hoja ya Bunge kutoonyeshwa live, kwa hiyo hoja ya serikali ya kutoonyeshwa Bunge live ikapita na wananchi wakaanza kunyimwa haki yao ya kuwaona wawakilishi wao wakitoa michango yao live Bungeni.
Baada ya Bunge kuanza kufanya shughuli zao gizani tukaanza kuona mfululizo wa wabunge wa upinzani kutimuliwa Bungeni kwa kile kinachodaiwa kuwa wabunge hao ni wavunjaji wakubwa wa kanuni za Bunge.
Hata hivyo katika tukio la hivi karibuni la kutimuluwa kwa wabunge wa upinzani Halima Mdee na Esther Bulaya, wananchi tumebaini kuwa wabunge hao wametimuliwa Bungeni kwa uonevu mkubwa kutohudhuria Bunge hilo kwa mwaka mzima kwa kilichodaiwa kuwa wabunge hao walitenda utovu wa nidhamu humo Bungeni.
Hata hivyo ukweli ni kuwa wabunge hao walionewa kwa kuwa chanzo cha wabunge hao kutimuliwa kilitokana na Mbunge mmoja wa CCM ambaye alifahamika kuwa ni Shonza ambaye aliwasha mic na kumuita Mnyika mwizi na Mnyika alipoomba mwongozo kwa Spika Ndugai kutaka mbunge aliyewasha mic na kumuita yeye mwizi afute kauli yake au athibitishe wizi wake, Spika Ndugai alimkingia kifua mbunge mwenzake wa CCM ambaye alimwita Mnyika mwizi na pale Mbunge Mnyika alipokuwa akisisitiza ni muhimu mbunge huyo wa CCM aidha afute kauli yake au athibitishe kauli yake, ndipo Spika Ndugai alipoita askari wa Bunge na kumtoa Mbunge Mnyika kama kibaka!
Baadaye Kamati ya maadili ya Bunge ambayo ina wabunge wa CCM watupu ikawajadili wabunge wa upinzani Halima Mdee na Esther Bulaya na kutoa uamuzi wa kuwafungia wabunge hao kutohudhuria vikao vya Bunge hadi mwakani!
Hatua hiyo ya uhasama ya wabunge imefikia hatua mbaya hadi wabunge wa upinzani wakasusia futari iliyokuwa imeandaliwa kwa wabunge wote na Waziri Mkuu Kasim Majaliwa.
Vile vile kulikiwa na Muungano wa wabunge wa vikundi mbalimbali vya kijamii vya wabunge wa CCM na wapinzani ambavyo vimeanza kuvunjika kimoja baada ya kingine.
Tukija kwenye mhimili wa utawala huku nako kumekuwa na ubaguzi wa wazi, hususani kwenye teuzi mbalimbali za utumishi wa Umma ambapo watumishi hao hawatakiwi kufungamana na siasa lakini tumeshuhudia katika teuzi za maDC, maRC na maDED Rais wetu akiteua kwenye nafasi hizo makada watupu wa CCM, ambapo wale waliopangiwa kwenye vituo vya kazi ambavyo vina wabunge kutoka upinzani, wabunge hao wamekuwa wakifanya majukumu yao katika mazingira magumu sana hasa kutokana na madaraka waliiyo nayo hao wateule wa Rais maDC na maRC kuwa na mamlaka ya kuwaweka watu ndani kwa saa 'zao' 48 pale waanapojisikia tu kuwaweka ndani watu hao walioko kwenye maeneo hayo.
Tumeshuhudia kwa kutumia sheria hiyo Mbunge wa Arusha mjini, Godbless Lema akisota rumande kwa miezi 4 mfululizo kwa tuhuma za kutoa lugha ya uchochezi.
Tumeshuhudia pia majuzi Mbunge wa Kawe akiwekwa ndani kwa maelekezo ya DC wa Kinondoni kwa kile pia kinachodaiwa kuwa alitoa lugha ya matusi dhidi ya Rais wa nchi yetu.
Kwa mazingira hayo ingawa nchi yetu ina mfumo wa vyama vingi kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Ibara ya 3(1) lakini kiuhalisia wabunge wa upande wa upinzani wanakuwa treated kama wahaini!
Kwa Bahati mbaya sheria hiyo inakinzana hata na natural justice, kwa kuwa maDC na maRC hao wanakuwa ndiyo walalamikaji, ndiyo Polisi wanaopeleleza kesi hizo na wakati huo hup mahakimu wa kuwahukumu watuhumiwa wao!
Kauli mbalimbali zinazotolewa na Mkuu wetu wa nchi nazo zinazidi kumomonyoa misingi ya Umoja wa Taifa letu.
Nitanukuu baadhi ya kauli hizo. Wakati anapokea ripoti ya makinikia Rais wetu alinukuliwa akimpongeza Spika Ndugai kwa kazi 'nzuri' ya kuwatimua wabunge wa upinzani Bungeni na yeye akamhakikishia kuwa baada ya Spika huyo kukamilisha 'assigment' ya kuwatimua wabunge wa upinzani bungeni naye huku 'uraiani' atatumia Uamiri Jeshi wake mkuu kuwashughulika wabunge hao wa upinzani!
Inaonekana tukio la 'kushughulikiwa' kwa Halima Mdee kama ni kutimia kwa ahadi aliyoitoa Mkulu kuwa huku nje nako watashughulikiwa!
Vile vile tuliwahi kumsikia Mkuu wa nchi siku za nyuma akimkingia kifua RC wa Dar na kumwambia chapa kazi kijana, licha ya tuhuma lukuki zinazomkabili RC huyo, zikiwemo za kufoji vyeti na kuvamia studio za Clouds akiwa na askari wenye silaha na kuwatishia watangazaji wa kituo hicho kuwa wasipoonyesha clip yake ya Askofu Gwajima atawabambikia kesi ya uuzaji wa madawa ya kilevya!
Kwa Maelezo hayo niliyoyatoa ni dhahiri sasa kuwa Umoja wa Taifa letu upo shakani kwa kuwa nchi yetu kwa hivi sasa imegawanyika katika misingi hususani ya itikadi za kisiasa katika hatua ambayo inaweza kuhatarisha urithi wa Umoja wa kitaifa ambao tuliachiwa na baba wa Taifa hili Mwalimu Nyerere.
Lakini pia tukumbuke kuwa Tanzania imekuwa kisiwa cha amani kwa kipindi kirefu sana, kwa hiyo tujifunze na nchi zinazotuzunguuka ambazo zilipoteza Umoja wa kitaifa nchini mwao na amani ikatoweka moja kwa moja nchini mwao.
Vile vile tujikumbushe maneno ya hekima aliyokuwa akiyatamka Mwalimu Nyerere kuwa amani ya nchi haishushwi toka mbinguni, Bali inatengenezewa mazingira ya kudumishwa kwenye nchi husika.
Kwa kuwa tayari kuna viashiria vingi vya kuvunjika Umoja wetu wa kitaifa ambao tumeudumisha kwa miaka mingi sana, naamini ni wajibu wa kila mwananchi , kutumia haki yake ya kikatiba kwenye Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ya mwaka 1977, Ibara ya 18(1) ya kutoa maoni kwa kukemea na kupaza sauti kwa nguvu zetu zote ili dalili hizi zinazojitokeza kwa Taifa letu za kuvunjika kwa Umoja wetu kutokana na itikadi zetu za kisiasa tuziepuke ili kuliepusha Taifa letu lisiingie kwenye hatari kama ambavyo mataifa mengine yalitumbukia kwenye machafuko na yakashindwa kurejea kwenye amani.
Wananchi pia tukumbuke kuwa hili ndilo Taifa letu na hatuna Taifa lingine lolote tunaloweza kukimbilia iwapo yatatokea machafuko nchini mwetu na njia pekee ya kudumisha amani ya kudumu mwetu ni kwa watawala wetu kuhakikisha kuwa wanatenda haki kwa makundi yote ya kijamii bila kufanya ubaguzi wa aina yoyote.
Canon ir2520 touch screen A4, A3, A4r, A5r,![]()
Price 2100,000
Ndogo mmeleta![]()
![]()
Ipo dizain hiyo 250000
![]()
Oven zile ndogo unazo?680000
Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
Zipo yenye plate 2 juuOven zile ndogo unazo?
Bado mkuuNdogo mmeleta
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
ShukranZipo yenye plate 2 juu![]()
352500
Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
Karibu mkuuShukran
Zipo smart ni ledMkuu bei smart TV LG inch 43.
4k and OLED technology
&
Samsung smart TV inch 43.
U HD.
Naomba bei hapo nichague Moja.
Sent from my SM-J120F using JamiiForums mobile app
Babu, HIVI tivi unahitaji sola yenye nguvu gani kuiwasha nimeipenda HIi?![]()
Samsung inch 32
VGA USB AV2 HDMI
Price 540,000
Yakawaida tu mkuu TV huwa inatumia umeme mdogoBabu, HIVI tivi unahitaji sola yenye nguvu gani kuiwasha nimeipenda HIi?