INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

0c8e5ef44425353f026239d324ff7a16.jpg
Bei gani inch 32
 
Nimefika azania bank kariako leo lakini nimeshindwa kuliona hili dika Amani Mfauume naomba anayejua lilipo anielekeze vyema namba yao ya simu ya voda haipatikani hewani,nimeuliza wanasema hawajui
mkuu nipo hewani kariakoo azania benki kwa nyuma mkuu pale pia ungenitext hata watsapp nisamehe kwa usumbufu leo pia sikuepo maranyingi jumapili tunafungua late nitafute namba zote zipo hewani labda ulinipo nipigia nilikua njian netwek afu kumbuka nafanya delivery kwahiyo sikai sehem moja ila tokea jana nilitoka ila nipo around kama bidhaa hujapata usijali utapata
 
Aweke namba basi za hao ashikaji zake walio arround kama yeye hatulii,anasema duka liko azania benki nimeenda pale hamna duka wala ofisi ya faume
namba zipo nne mkuu kwahiyo ukiona moja haipo Armani jaribu nyingine
 
Sijapata,nataka friji,popcone machine ya gas,juice dispensor ya 3bottles,display friji niwekee hapa ulizonazo
 
Tablets za Watoto zinazotumia Line bei gani na Zisizotumia Line Unazo??
If yes Bei gani??
Una Brand gani??
Weka na specifications zingine kama vile color, storage, screen size, etc
 
Tablets za Watoto zinazotumia Line bei gani na Zisizotumia Line Unazo??
If yes Bei gani??
Una Brand gani??
Weka na specifications zingine kama vile color, storage, screen size, etc
Boss hatuna tablet za watoto kajaribu kuulizia pale agrey
 
Back
Top Bottom