INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

Mkuu mnazo ccctv camera zenye uwezo wa kujirekodi na pia zenye uwezo wa kutumia usb!kama zipo nipe bei yake na picha zake.
 
sa

sawa boss wetu mtiifu kabisa
set nzima zinakaa kamera 6 cable zake na dvr ya njia 8 ambayo wewe utacho fanya baada ya kununua set utanunua screen tu kwajili ya kuona video zako pia hiyo dvr unaweza kuongeza camera 2 ziwe 8
hii ya moja inauzwa moja kama ilivyo ila hiyo set bei yake ni 950,000
cctv
 
a074f573bce939748a957c7c78cff304.jpg

Ya watts 1000 unayo? kama unayo nipe specs na bei
 
Flat ya kawaida sio smart

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
470,000
ya starx bei 410,000
ya ouling bei 390,000
ya rising bei 485,000
fuji bei 390,000
sifa ; zote ni full hd zina hdmi port usb port mwenekano mzuri warranty one year imara zaidi na matoleo ya kisasa ila rising inatumia ac na dc [yani umeme wa kawaida na solar pia] ni chaguo lako boss kuchagua ipi itkufaa
 
1 (15).jpg
sabufa safi inaumbo dogo ila kazi kubwa
ina bluetooth ,usb, sauti clear na mdundo heavy
bei 117,000 tu
 
470,000
ya starx bei 410,000
ya ouling bei 390,000
ya rising bei 485,000
fuji bei 390,000
sifa ; zote ni full hd zina hdmi port usb port mwenekano mzuri warranty one year imara zaidi na matoleo ya kisasa ila rising inatumia ac na dc [yani umeme wa kawaida na solar pia] ni chaguo lako boss kuchagua ipi itkufaa
Bei za inch ngap hizi?
 
Kufika hapo dukani kwenu nimekoma. Madalali kibao. Bora nikutafute kwa simu. Unaweza kuniletea mzigo Bunju?
 
1 (10).jpg
1 (11).jpg
1 (10).jpg

sabufa nzuri ya kisasa mwonekano mdogo ila uwezo mkubwa
ina usb port
fm radio
sauti maridhawa
remote control

bei 115,000
 
Back
Top Bottom