pachanya,
Mkuu hapo umechanganya mambo angalia vizuri kwenye hiyo site
kuna bidhaa ziko kwenye
I.Category
2.Location
3.Advanced Search
Bidhaa ziko nyingi sana Seller anaweza kua-upload items kwakutumia Category au Location uki Search utapata items zote zilizopo.
Wanaendelea ku-upload na kuboresha makosa madogo madogo kama yatabainika kwanfano kuna bidhaa zaina moja kama plug ukingalia vizuri kwenye picha kuna plug nne lakini kuna quantity wingi wa plug alizonazo Seller zaidi ya 1000 lakini kwenye webite inasomeka kama item moja.
1.Kuhusu kutuma msg kumbuka nimekuambia ukitumia forum kwenye bidhaa ambazo haziko kwenye webite utajibiwa mapema kuliko kutuma ujumbe kwenye watspp Customer care sio Seller atakachokifanya ata forward hio meseji kwa sellers
2. Kumbuka tunatofauti ya masaa tena mengi kati ya Japan na Tanania ukituma ujumbe mida ya saa saba mchana kwa huku ningumu msana mtu kukujibu kule sio muda wa kazi. ni usiku.
3. Kutumia nfumo kama wa Alibaba lazima kuwe na sababu zaidi ya ulizozitaja.hapa
4.Kama umepiga simu bila kupokelewa inawezekana watu walikua wameisha ondoka offisin jumatatu utajibiwa mapema bosi wangu ila maswali ya bidhaa au mashine wanatakiwa kujibu waliko Japan sisi ni wasambazi wa mizigo na mambo ya ushuru baada ya mizigo kufika.
5. Kuhusu mambo ya minada sio lazima ku-bid au kutuma ofa kwenye website yetu kuna option ya Bay now kama kuna baadhi ya items hazina options hizo basi kesho nitalifikisha mkuu lazima options zote ziliopo kwenye website zifanye kazi ilikuondoa usumbufu.
Maoni yenu yote yatafanyiwa kazi ndani ya masaa ahsante kwa maoni yenu .