Jipatie bidhaa mbalimbali kupitia kwenye minada yetu moja kwa moja kutoka Japan

Kwenye website kuna namba ya Japan ya whatspp pia kwenye bidhaa kuna sehemu ya kuchati na Muuzaji unaweza kutuma offa yako kwa muzaji akikubali utapokea email yenye ujumbe wakukubali offa yako ukaktaliwa utapokea ujumbe pia wa kukataliwa.offa yako.
Mimi ninadhani kitu kikubwa ambacho ungefanya ni kuwa na ofisi Tanzania na Japan. Ofisi ya Japan iwe inafanya kazi za kununua na kusafirisha mzigo toka Japan kuja TZ; na ofisi ya TZ iwe inapokea mzigo na kuukabidhi kwa mnunuzi. Mfano mzuri ni Afrika Logistics. Hupokea na kusafirisha mizigo toka USA na wana ofisi USA, TZ wanayo ofisi, kazi yake ni kupokea, kupakua, na kukabidhi mzigo. Wao hushughulikia mambo yote ikiwa ni pamoja na ushuru, clearing, na kuwerka kwenye warehouse yao. If this company will do this, then they will do a better service. Ila kampuni inatakiwa kwanza ijijenge kijina, maana TZ hatukawii kulizwa.
 
honda ct 125 zinapatikana?
 
Attachments

  • Screenshot_20221127-182839_Chrome.jpg
    Screenshot_20221127-182839_Chrome.jpg
    39.1 KB · Views: 21
Mimi ninadhani kitu kikubwa ambacho ungefanya ni kuwa na ofisi Tanzania na Japan. Ofisi ya Japan iwe inafanya kazi za kununua na kusafirisha mzigo toka Japan kuja TZ; na ofisi ya TZ iwe inapokea mzigo na kuukabidhi kwa mnunuzi. Mfano mzuri ni Afrika Logistics. Hupokea na kusafirisha mizigo toka USA na wana ofisi USA, TZ wanayo ofisi, kazi yake ni kupokea, kupakua, na kukabidhi mzigo. Wao hushughulikia mambo yote ikiwa ni pamoja na ushuru, clearing, na kuwerka kwenye warehouse yao. If this company will do this, then they will do a better service. Ila kampuni inatakiwa kwanza ijijenge kijina, maana TZ hatukawii kulizwa.
Mkuu umecoment bila kusoma bandiko ulicho sema hapa ndo hivyo tunafanya Tuna ofisi Japan na Tanzania, tunafanya hivyo kama ulivyo shauri.

Jambo la pili kujijenga kijina maana yake nini? Kama tuna offisi Japan na Tanzaia bidhaa zipo unataka tujinjenge kivipi labda unisaidie maelezo zaidi tujue jinsi ya kujijenga kijina.

Jambo la Kulizwa unalizwaje fafanua pia ?
 
Back
Top Bottom