Jonsonjohn
JF-Expert Member
- Nov 19, 2019
- 281
- 356
- Thread starter
-
- #441
Utapata bossNashida na Outboard Engine za Yamaha mbili za mtumba kutoka Japan
1.HP 15
2.HP 40
Hadi dar nazichukua mkononi bei gani?
Mbona bei za used zinazidi za mashine mpy?Utapata boss
40HP Yamaha used good condition 10ml
15 HP ni 5ml
Engine za Yamaha Endrae sio orginel ni mchina ndiomaana zinauzwa bei rahisi,hizi ni Orginal Yahama.Mbona bei za used zinazidi za mashine mpy?
Hizo ziko Tifauti na hizi? Ebu weka picha tuoneEngine za Yamaha Endrae sio orginel ni mchina ndiomaana zinauzwa bei rahisi,hizi ni Orginal Yahama.
Mpya au used?Mkuu naahida ya Starter ya Prodo TX
Mack au W?Nitafutie Laptop kali
Unaweza kutumia site hii yetu ya spare parts moja kwa moja www.digxam.siteMkuu naahida ya Starter ya Prodo TX
Tumia hii site kuweka order yako www.digxam.aiteNashida na boat kubwa ya uvuvi
Hii bei gani?