Jonsonjohn
JF-Expert Member
- Nov 19, 2019
- 281
- 356
- Thread starter
- #461
Kama unataka simu kwamkopo pia utapa.
Kivipi?Kama unataka simu kwamkopo pia utapa.
Miko ipo wazi inategemea unataka mkopo wa nini Omba MkopoHii ya mkopo iweke wazi mkuu.
Kuwa makini utapigwaNimejaribu kujisajili kwakutumia taarifa zangu za google imegoma sijajua shida nini mkuu
Link iko wapiKujaza taarifa zako kwenye tovuti yetu ingi akwenye My Account Menu kisha utaona Personal Information weka namba ya simu na majina yako ya kweli weka na Profile Avatar ikikupendeza ila sio lazima kua picha yako unaweza weka picha ya kitu chochote.
Link iko wapi
Hakuna mambo ya upigaji hapa,hawa jamaa nilisha agiza vitu vingi sana kupitia kwenye huu uzi wakaniletea bilatatizo.Kuwa makini utapigwa
Kwanini nisiamini wewe ndio huyo alieweka bandiko?Hakuna mambo ya upigaji hapa,hawa jamaa nilisha agiza vitu vingi sana kupitia kwenye huu uzi wakaniletea bilatatizo.
Umetapeliwa nini boss?Kwanini nisiamini wewe ndio huyo alieweka bandiko?
Nimesema awe makiniUmetapeliwa nini boss?
Nazifanyia kazi nitakujibuMashine za JUKI kwajili ya kufundisha wanafunzi shuleni ufundi stadi, tunaweza pata machine za cherehani pcs kama 100 za kuanzia.
- Mashine za kushana
- Overlock
- Kudalizi
- Kutoboa na kushano vishikizo
- Mashine zenye speed kiutendaji
Mkuu ukikosa Japan nikubebee toka SA zipo za kutosha..Mashine za JUKI kwajili ya kufundisha wanafunzi shuleni ufundi stadi, tunaweza pata machine za cherehani pcs kama 100 za kuanzia.
- Mashine za kushana
- Overlock
- Kudalizi
- Kutoboa na kushano vishikizo
- Mashine zenye speed kiutendaji