Nipemuda kidogo
Niwazo zuri sana ila kuna changamoto nyingi sana kuweka bei ya manunuzi usafiri pamoja na ushuru Kuna vitengo vingi vinashirikishwa kupata bei kamili ya mzigo
Kumbuka Ebay Aliexpress na mitandao mingine umeitaja hapa wanaweka F.O.B na currency ya USD sio kazi sana wanasafirisha vifurushi kwanjia ya ndege bei zake kwa kilo zinajulikana.
1.Sisi tunatumia currency ya Shilling
2. Bei sio Manunui tu pamoja Usafiri na Ushuru
3 Pesa yetu inashuka thamani kwa USD
4.Ushuru unachajiwa kwa USD
5. Hatusafirishi vifurushi peke yake kuna mizigo ya kupakia kwenye Container
Kwasabu hizo naomba ushirikiano wenu kulingana na Mazingira ya mambo yote niliyoyataja.
Mimi nasubiri upost Honda Xr250(md30) usisahau na bei yakeNiwazo zuri sana ila kuna changamoto nyingi sana kuweka bei ya manunuzi usafiri pamoja na ushuru Kuna vitengo vingi vinashirikishwa kupata bei kamili ya mzigo
Kumbuka Ebay Aliexpress na mitandao mingine umeitaja hapa wanaweka F.O.B na currency ya USD sio kazi sana wanasafirisha vifurushi kwanjia ya ndege bei zake kwa kilo zinajulikana.
1.Sisi tunatumia currency ya Shilling
2. Bei sio Manunui tu pamoja Usafiri na Ushuru
3 Pesa yetu inashuka thamani kwa USD
4.Ushuru unachajiwa kwa USD
5. Hatusafirishi vifurushi pekeyake kuna mizigo ya kupakia kwenye Container
Kwasabu hizo naomba ushirikiano wenu kulingana na Mazingira ya mambo yote niliyoyataja.
Bado nasubiri mkuuNipemuda kidogo
Kwenye website kuna namba ya Japan ya whatspp pia kwenye bidhaa kuna sehemu ya kuchati na Muuzaji unaweza kutuma offa yako kwa muzaji akikubali utapokea email yenye ujumbe wakukubali offa yako ukaktaliwa utapokea ujumbe pia wa kukataliwa.offa yako.
Bidhaa ninazohitaji hazipo kwenye website. Nahitaji namba ili nimtumie picha angalie kama anaweza akazipata.Kwenye website kuna namba ya Japan ya whatspp pia kwenye bidhaa kuna sehemu ya kuchati na Muuzaji unaweza kutuma offa yako kwa muzaji akikubali utapokea email yenye ujumbe wakukubali offa yako ukaktaliwa utapokea ujumbe pia wa kukataliwa.offa yako.
Kuna namba ya Whatspp hapo kwenye webite pia kuna Forum kwenye website ukitumia njia ya Forum selllers wote wataona bidhaa unayoitafuta watakujibu fasta ukitumia whatspp ataona moja itabidi a-forward kwa sellers woteBidhaa ninazohitaji hazipo kwenye website. Nahitaji namba ili nimtumie picha angalie kama anaweza akazipata.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kule kwenye Web yao bado sana kunahitajika userious. Kuna vitu 18 tu. Nimetuma meseji kwa Customer care wao kwa namba ya Japan kasoma hajajibu.Nyie mna kazi kweli. Sidhani kama mnapata wateja Tanzania maana concept yenu ya biashara haieleweki. Hizi feeds za minada na bidhaa mnazoposti sijui mnatoa yahoo.co.jp au sijui wapi, lkn it all leaves a lot to be desired.
Yes mkuu hapo sahihi. Pia pokea order hapa hapa achana na habari za website. Kama kuna mashine nahitaji nakutumia pm unanijibu. Usicomplicate mambo.Kuna za tractor zenye hose power kubwa nitaziweka hapa na vifaa mbali mbali kama pumpu za kuvuta maji na kunyunyizia dawa shambani
Hoja yako nini sijakuelewa bidhaa inaweza kutoka USS, JU, OYAMA ,AAA yahoo as long as ni member wa hizo actions na bidhaa ikiwa ndani ya JapanNyie mna kazi kweli. Sidhani kama mnapata wateja Tanzania maana concept yenu ya biashara haieleweki. Hizi feeds za minada na bidhaa mnazoposti sijui mnatoa yahoo.co.jp au sijui wapi, lkn it all leaves a lot to be desired.