Jipatie bidhaa mbalimbali kupitia kwenye minada yetu moja kwa moja kutoka Japan

Jipatie bidhaa mbalimbali kupitia kwenye minada yetu moja kwa moja kutoka Japan

B4230757-B3AC-423B-B7AE-DB2082046027.jpeg

Toyota Hiace (For sale)
Mileage 52858
Engine 2RZ
Engine capacity 2432
Model 2004
Imported from japan
Fuel petrol
Transmission Automatic
registered
Price Tsh 28M
 
Utaulizwa masuala mpk utablow na utafikiri kweli wanunuzi wabongo wanapenda bure yao anatak quality lkn pesa hana mwisho anaishiya kwa mchina OG wabongo hawajazoewa ni mtu mmoja mmoja tu wote washazoea makwanjanja ,mswahili bwana kama kutu la ngombe tu
Boss siku nilienda kuchukua generator langu temeke kwenye yard ya Serekali walikoshushia mzigo kabla ya temeke hospital walifungua container la 40ft kumejaa mizigo ya watu

Wengine tulichukua wote mizigo sema kunachangamoto ndogo ndogo pale yard kuna watu wazembe sana muda ni pesa ukimchelewesha mteja wako dk 10 kwauzembe kesho unaweza kumkosa
1E32309D-0CDE-492A-A0CF-F61508A5A31B.jpeg
 
Kama umeagiza mzigo wako nenda kwenye office zao ukachukue mzigo wako kabla ya storege pia tembekea website track mizigo Yako usiingie gharama za kulipia mzigo kwakuchelewa kuchukua mm niliambiwa nimechelewa week moja ikabidi nilipe wanakomaa
 

HP Pavilion TouchSmart 14 x360 14-cr0017nr Laptop (Core i5 8th Gen/8 GB/256 GB SSD/Windows 10)

Nahitaji screen na cover lake ya hii laptop​

 
Back
Top Bottom