INAUZWA Jipatie bidhaa za Hisense & Samsung brand kwa gharama nafuu

INAUZWA Jipatie bidhaa za Hisense & Samsung brand kwa gharama nafuu

Karibu sana 0692449416
IMG_20230215_120203_0.jpg
 
Nipe bei ya jumla ya hisence TV nchi 40 ya kawaida, na hisence nchi 32 ya kawaida na nchi 43 ya smart.
Pia nipe bei ya LG nchi 40 ya kawaida na nchi 43 smart.
Hisense inch 40 price 534,600/=
Hisense inch 32 price 396,225/=
Hisense inch 43 smart price 742,500/=

Ukija ofisini utapata discount zaidi

Karibu sana
 
Mkuu weka mkeka wa bei elekezi (in list) ya hizo brand kwa jumla na rejareja ili inbox au call iwe biashara!

Ni ushauri tu!
Asante mkuu,
Price list ni ndeefu sana ,hivyo unaweza kuuliza mi nitajibu nipo kwaajili yenu

Karinu sana
 
Hisense inch 40 price 534,600/=
Hisense inch 32 price 396,225/=
Hisense inch 43 smart price 742,500/=

Ukija ofisini utapata discount zaidi

Karibu sana
Oky asante ila umekosea kusema kuwa ninyi ni wakala wa hizi bidhaa wakati hizo bei hata kwa wauzaji wa kawaida tena mikoani wauzi bei hizo, maana kwa uelewa wangu nchi 40 hata laki nne haifiki kwa bei ya jumla maduka ya hisence na nchi 30 haifiki ni chini ya 300k.
 
Ndiyo ni main distributer in Tz kwa hisense na samsung brand,

Hiyo bei inashuka zaidi,karibu ofisinu ufanye survey kuna utaratibu wa kibiashara ndiyo maana punguzo la chini kabisa sijaliweka..
 
Back
Top Bottom