INAUZWA Jipatie bidhaa za Hisense & Samsung brand kwa gharama nafuu

INAUZWA Jipatie bidhaa za Hisense & Samsung brand kwa gharama nafuu

hisense & samsung,
Jipatie
1.AC
2.TV
3.WASHING MASHINE
4.FRIDGE
5.FREEZER
6.SOUND BAR MUSIC SYSTEM
7.DISH WASHER
8.COOKER
9.COOLER-fridge zavinywaji
10.MICROWAVE
11.DRYER

Piga 0714988215 & 0692449416 Karibu sana ofisini[emoji1666]
 
Hisense Tv inch 75 bei ya uwakala unayosema wengine wanakuja kununua kwenu ni kias gani?
 
discount price yake ni 1,088,000

Hisense 4k smart tv 55" Bei gani
Screenshot_20231015-153051.jpg

Bila shaka hata hawa hii Inch 55 wamenunua kwako pia
 
Hisense Tv inch 75 bei ya uwakala unayosema wengine wanakuja kununua kwenu ni kias gani?
Karibu sana mkuu,kwa bei ya peaces kwa jumla naomba utembelee ofisi zetu Posta 0692449416
 
Karibu sana
Ni product ipi uipendayo?
Ili nikutumie picha na bei mkuu

Maswali yote utajibiwa mkuu,usihofu
Sorry sikukuelewa kumbe ulikuwa unahitaji bei ya retailer,

75inch bei ni 2,472,000 mkuu


Kwa bei ya jumla ,tunautaratibu mfanya biashara( mteja) itabidi afike ofisini
 
0714988215 / 0692449416
HISENSE TV DISCOUNT OFFER
Hii ni offer ya punguzo kuanzia kesho mpaka wiki ya kuadhimisha kumbukukumbu za Hayati Baba wa Taifa J.K.Nyerere[emoji120][emoji120]
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
32inch HD 436,000-358,000

32inch smart tv 514,900-420,000

40inch FULL HD 614,000-509,800

40inch smart tv 712,900-591,500

43inch FULL HD 706,050-585,000

43inch smart tv 772,200-640,700

50inch smart UHD 4k 1,164,510-966,200

55inch price 1,100,000

58inch price 1,150,000

65inch price 1,600,000

70inch price 2,150,000

75inch price 2,472,000
 
Karibuni sana 0714988215 & 0692449416
 
Tv ya samsung napata inch 52??
Hapana mkuu Samsung kuna 50inch , 55inch na 58inch

50inch smart UHD 4k 1,164,510-966,200

55inch price 1,100,000

58inch price 1,150,000
 
Nipe bei ya jumla ya hisence TV nchi 40 ya kawaida, na hisence nchi 32 ya kawaida na nchi 43 ya smart.
Pia nipe bei ya LG nchi 40 ya kawaida na nchi 43 smart.
32 price 368,000
40 price 523,250
43 smart price 657,800

Kwa LG tunadistribute AC pekee

Karibu sana
 
Back
Top Bottom