Complex
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 4,119
- 4,779
Heri ya mwaka mpya kwenu nyote wana teknolojia. Ozone Technologies imerudi tena kivingine katika mwaka huu wa 2023 kuhakikisha kila mtu anakuwa na Computer mpakato yenye kasi na ufanisi. Ili wateja wetu wapate kufurahia kasi ya computer watakazonunua kutoka kwetu, tumehakikisha computer zetu zote zina SSD storage, na RAM 8 GB. Bei zetu ni nafuu, huduma zetu ni nzuri, Bidhaa zetu ni bora, na pia tupo tayari kuwasikiza wateja wetu.
Computer zetu zote zina SSD, na bei zetu zinaanzia Tsh 349,000. Tunatuma mikoani kwa uaminifu mkubwa (Ushahidi upo kwa baadhi ya wateja wetu wa JF). Halikadhalika punguzo lipo kwa wale wanaohitaji laptop nyingi. Tunatoa Warranty ya Miezi 6 kwa laptop zote.
Tunapatikana Machinga Complex floor ya 3. Ama tupigie kwa namba zetu 0714894798, 0753555055. Namba hizo pia zinapokea jumbe za whatsapp.
Kwa bidhaa zaidi waweza tembelea kurasa yetu ya instagram ozonetechnologiestz
Hapa chini ni picha na aina ya laptop tulizonazo kwa sasa zikiwa zimeambatana na bei zake katika kila picha