INAUZWA Jipatie Excel Template ya kuchakata matokeo ya wanafunzi (O-level) kwa sh 35,000/=

Nina tatizo la kufanya kazi za VLOOKUP inanisumbia Sana hii formula.

Kuna tofauti ipi kat ya formula na function kama ulivyoelezea hapo juu
 
Midterm ndio hiyo inakaribia, ili kuokoa muda na kuepuka human errors za hapa na pale ktk uchakataji wa matokeo basi ni viziri ukatumia mfumo/Excel kuratibu hilo zoezi ambapo itakusaidia sana kuokoa muda na kuwa wa kipekee.

Kwa mahitaji ya templates mbali mbali za Ms Eccel wasiliana nami
ebusiness.excel@gmail.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…