INAUZWA Jipatie Excel Template ya kuchakata matokeo ya wanafunzi (O-level) kwa sh 35,000/=

INAUZWA Jipatie Excel Template ya kuchakata matokeo ya wanafunzi (O-level) kwa sh 35,000/=

Njuka II, the Ms Excel legend
ebusiness.excel@gmail.com
sales.JPG
 
Natumaini kuwa sote ni wazima wa afya

Bila kupoteza muda, niende moja kwa moja kwenye mada. Mimi ni mtaalamu wa Microsoft Excel, Leo nimekuja na template ambayo kazi yake ni kuchakata matokeo ya wanafunzi wa O-Leve...
Nahitaji kusoma
 
Kwa mahitaji ya Excel templates tuwasiliane ebusiness.excel@gmail.com
mkuu ni maswali kadhaa naomba majibu
1. hizi template kwenye kuweka jina la shule, wilaya na/au mkoa naweza badilisha? ( mfn nipo shule ya bunafsi labda inaitwa x, ipo wilaya y, mkoa z, je, ninapohama hii shule x maana nitaondoka na mfumo wangu ulioniuzia sasa ninapoenda shule nyingine labda shule j, ipo wilaya q, mkoa d ntaweza badili taarifa na kuendelea kuutumia huu mfumo au mpaka ninunue tena mfumo mpya au inakuwaje?)

2. mfano nina wanafunzi wa o'level nimeingiza matokeo yao je, mfumo unaweza angalau kunapatia tathimini ya kila mwanafunzi na tahasusi(combination) iliyobalance au zilizobalance?


3. kuna wanafunzi hawafikishi report cards kwa wazazi wao je, kuna uwezekano wa kutumia mfumo na mzazi akapata matokeo ya kijana wake kwa njia ya ujumbe mfupi yaani sms ktk simu yake?

naomba ufafanuzi mkuu kabda sijajilipua
 
Msimu wa likizo umewadia, jipatie templates mbali mbali kwa ajili ya shule yako ili kurahisisha kazi na kuifanya shule yako kuwa na utofauti. Wasiliana na Njuka II kupitia ebusiness.excel@gmail.com uone karama aliyobarikiwa kijana huyu
Reg%20Book.JPG
 



1. Interschool ( shule zaidi ya moja) na gharama yake na
2. Mfumo unaruhusu kushift ( o'level to A' level) and vice versa au kila mfumo unajitegemea
nb. natanguliza Shukran za dhati.
1. Hii kwa sasa sina, ninayo template ya shule moja tu labda kama unahitaji unipatie maelekezo then niitengeneze
2. Kila level ina mfumo wake ndg maana calculation za grade, division etc kwa O level na A level zinatofautiana
 
1. Hii kwa sasa sina, ninayo template ya shule moja tu labda kama unahitaji unipatie maelekezo then niitengeneze
2. Kila level ina mfumo wake ndg maana calculation za grade, division etc kwa O level na A level zinatofautiana
OKay thanks, vp gharama yake nina shule zaidi ya 26
 
Mkuu mie nahitaji nikupe Kama ya kihasibu, biashara fulani ivi Ila nitakuelekeza ili unitengenezee,iwe inachora grafu kabisa ,uniambie Ni Bei gani
 
Back
Top Bottom