INAUZWA Jipatie Excel Template ya kuchakata matokeo ya wanafunzi (O-level) kwa sh 35,000/=

INAUZWA Jipatie Excel Template ya kuchakata matokeo ya wanafunzi (O-level) kwa sh 35,000/=

Hongera sana kaka..kaz nzuri nitanunua hiyo Payroll pamoja na ya biashara..nitakutafuta March mwanzon
 
Kwa level ya beginner utatumia nguvu nyingi kuelewa kama utatumia njia ya kusoma vitabu. Kwa sasa tumia njia ya video (YouTube) au mtu akufundishe ana kwa ana mpaka pale utakapokuwa na basics za kutosha
Mi nataka kuwa expert wa Excel beginner skills ninazo nataka advanced stage .

Niambie nitafute kiasi nije unipige brash
 
Nafikiria kutengeneza template nyingine ambayo itakuwa special kwa ajili ya Pharmacy, iwe na feature mbali mbali zinazohusiana na hiyo biashara ikiwemo hiyo ya kutrack dawa zilizoexpire. Kama utakuwa umeridhika nayo ikiwa hivyo hivyo tuwasiliane

Sent using Jamii Forums mobile app
Fanya kuitengeneza basi ya pharmacy ikiwa tayari naomba unitag basi mkuu
 
Unaanza na sheet name kabla ya jina la cell, baada ya sheet name unaweka alama ya ! Mfano =A5+'setting'!B7
Njia rahisi ni ya kuselect sheet kwenye sheet tab (ukishaandika =A5+ unaselect sheet unayotaka then unaselect cell)
Pia unaweza ukalink data ambazo zipo kwenye workbook tofauti tofauti
Mkuu habari
 
Kama ni kuhamisha tu, haina haja ya kutumia formula.

Select cells zako>>Right click >>Cut>>Select first cell unayotaka majina yako yaanzie>>Right click>>Paste
Au
Select cells zako >>Ctrl+X>>Select first cell unayotaka majina yako yaanzie>>Ctrl+V

Formula ya top ten ni ipi mkuu?

Yani top itokee sheet2 wakati matokeo nimeyaweka sheet1?
 
Back
Top Bottom