INAUZWA Jipatie Excel Template ya kuchakata matokeo ya wanafunzi (O-level) kwa sh 35,000/=

Una task yoyote ya Excel iliyoshindikana ofsini kwenu, shule, taasisi tuwasiliane. Jinsi Messi anavyouchezea mpira atakavyo ndivyo ambavyo naichezea Excel
 
Shule zinafunguliwa, ili usiumize kichwa katika uchakataji wa matokeo basi jipatie template yako ambayo itakusaidia kuepukana na human errors
 
Nikihitaji template ya mambo ya stores, yaani vitu vinavyoingia, na kutoka inakuwaje
 
Kama Ms Excel inakusumbua katika kazi zako, tuwasiliane. Natengeneza formula zinazofanya kazi mbali mbali kulingana na mahitaji husika
Formula za Pay As You Earn (P.A.Y.E) na zinginezo nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…