Ramon Abbas
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 1,964
- 3,913
Hii kweli inatembea?Gari manual ni chache sanaa.
wahi hii usiikose.
Haina tatizo lolote na inatumika mpaka sasa.
Cc 1600
engine 7A
full ac.
call 0683011003.. Dar es salaam
View attachment 1913345View attachment 1913346View attachment 1913347View attachment 1913348View attachment 1913349View attachment 1913345View attachment 1913346View attachment 1913347View attachment 1913348View attachment 1913349
Hapana inarukaHii kweli inatembea?
Uhatari wake upi bwashee?hatari sana sheikh
laki tano nakuletea pikipiki safi kabisa mkuu.ikifika laki5 nishtue na mm nitembelee matterCall
Ni kweli mkuu kuna baadhi ya picha zimejichomeka.Mbona kama umeweka picha za gari mbili tofauti, moja manual na nyingine auto (IST)
Kula 2M
Kula 2M
nyie naona mna moyo wa kutaka hiki chomboikifika laki5 nishtue na mm nitembelee matterCall
😂😂😂😂😂tajiri una majibu ya shombonyie naona mna moyo wa kutaka hiki chombo
Nawashauri jichangeni kwa pamoja mnunue hii gari
toeni 3.2mil mtakua mnaendesha kwa zamu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nyie naona mna moyo wa kutaka hiki chombo
Nawashauri jichangeni kwa pamoja mnunue hii gari
toeni 3.2mil mtakua mnaendesha kwa zamu
Hahaha Mwamba umenichekesha sananyie naona mna moyo wa kutaka hiki chombo
Nawashauri jichangeni kwa pamoja mnunue hii gari
toeni 3.2mil mtakua mnaendesha kwa zamu
ngumi ya uso hii[emoji23][emoji23][emoji23]Hapana inaruka
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nyie naona mna moyo wa kutaka hiki chombo
Nawashauri jichangeni kwa pamoja mnunue hii gari
toeni 3.2mil mtakua mnaendesha kwa zamu