INAUZWA Jipatie hit up home treadmill(mashine za mazoez za kukimbilia) kwa bei nafuu

INAUZWA Jipatie hit up home treadmill(mashine za mazoez za kukimbilia) kwa bei nafuu

hatym

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
513
Reaction score
178
Najua ubize wa kazi na majukumu ya kila siku imekua ni changamoto kwako kuweza kufanya mazoezi ya mwili,wakati mwingine unafika nyumbani muda umekwenda sana na kushindwa kuhudhuria gym,sasa sisi tuko hapa kuleta suluhisho hilo tunakuletea treadmill yanye kasi ya kukimbia mpaka kilometa 14 kwa saa,hatutaishia hapo tutakupatia pia na zawadi ya aerobic step pamoja na kamba ya kuruka( jump rope)
Treadmill hii inauzwa 1,400,000
Hapo tu haijawa mwisho tutakuletea mpaka kwako bure kama ni mkazi wa dar es salaam na kukufungia pia bure,baada ya kuhakikisha kuwa inafanya kazi vizur ndipo utafanya malipo
PRODUCT DESCRIPTION

Motorized Treadmill*MTM-HTC-660B

Motor : DC Motor Peak Power 2.0 HP

Panel: 5 Inches Blue LCD, With MP3 connection Speed:0.8-14km/h

Heart Rate Test : Handlebar

Running Area:1200*420mm

Assembly Size:1610*700*1255mm

Folded Size: 980*710*1405mm

Carton Size:1665*775*180mm
60a3e4da95e81b5f666d8f4e4efa539f.jpg
baa0f42a2da970d5db905798ce1e2273.jpg
6b6916d4d1d8ef6db16fda2a7bb68cf0.jpg
de5dd93a0c4f32756d407f49fe88deca.jpg
4b02f95dd0fb1adf92fc5c7471ce94d2.jpg


Aerobic step utayopewa bure ni hii
47dc7254e4ffc86dd1f4c58f0337f3f2.jpg
f5f58ec42fb34f242d9a680ab08de262.jpg

Na jump rope utayopewa bure ni hii
8fd1a0c461407e00fd6363ce6a56a08c.jpg
c9fbff874b5178fe6998e7109f95bc8c.jpg

Karibu sana
Mawasiliano
0758728258
0718327776
Au unaweza tufollow instagram kupitia account yenye jina hili @vifaa_vya_mazoezi
 
new_offer
Tunapenda kutoa offer kwa bench hizi za sit up bench ambazo ni kmara zaidi na zinabeba mpaka mtu mwenye uzito wa kilo 150
utazipata kwa offer ya tsh 220,000 wahi ziko chache
Wasiliana nasi
0758728258
0718327776
free_delivery_in_dar_es_salaam
36f5ff72aeca246673d318bda80a02aa.jpg
delivery_within_24hours
7f39b405e0d706548511ad10fc931d90.jpg
 
Home gym
32ee90bd27721ae57d3d651563e75e54.jpg

Imebaki moja tu
Bei ni tsh 1,300,000 machine unayoweza tumia kufanya karibu mazoezi yote ukiwa nyumbani kwako uzito unaupanga unavyotaka
Tutakuletea bure na kukufungia bure kwa dar es salaam
Wasiliana nasi kupitia
0758728258
0718327776
Karibu upate huduma iliyobora zaidi
 
Vipi service za mashine hizo hasa pale zinapoharibika, zina spea?
 
Kukimbia au kutembea ni njia salama na nzuri inayosaidia kuujenga na kuuimarisha moyo uwe na afya nzuri na usio katika hatari ya kushambuliwa na maradhi.Mazoezi au tabia ya kufanya mazoezi inayo faida kubwa zaidi kuliko matumizi ya dawa.

1. Mazoezi husaidia kupunguza uzito, tembea lisaa limoja kila siku au kimbia dk 30 kwa siku
2. Ni mazoezi yanayoweza kufanywa na kila mtu
3. Ni mazoezi yanayoweka mwili sawa
4. Ndiyo njia rahisi kabisa ya kuufanya mwili kuwa mkakamavu, sababu huhusisha kila kiungo cha mwili kufanya kazi
5. Hupunguza dalili za majonzi na wasiwasi, mind refreshment against stroke, pressure etc.
6. Ni mazoezi yenye matokeo ya taratibu
7. Hupunguza uwezekano wa kupatwa na kolesto/lehemu through burning claories
8. Hupunguza na kutibu shinikizo la damu
9. Hupunguza uwezekano wa kupatwa na baadhi za kansa, example progestorene cancer
10. Hupunguza uwezekano wa kupatwa na kisukari, unapokimbia hufunguo vinyweleo vya mwili na husaidi mwili kutoa jasho kwenye kila kioungo
11. Hukufanya ujisikie vizuri, muscle relaxation
12. Husaidia kuimarisha mifupa
13. Husaidia kupunguza uwezekano wa kupatwa na shambulio la moyo
14. Ni mazoezi uwezayo kuyafanya bila kukusababishia ajari au maumivu makubwa
15. Hupunguza mfadhaiko/stress
16. Hupunguza uwezekano wa kupatwa na ugonjwa wa moyo
17. Ni mazoezi unayoweza kuyafanya bure bila kulipia chochote
18. Husaidia kuimarisha mishipa
19. Husaidia katika mfumo wa upumuwaji
20. Husaidia kuongeza mzunguko wa damu

Kama afya yako siyo nzuri sana anza kutembea kidogo kidogo labda dakika 15 kwa siku huku ukiongeza dakika 5 kila siku hadi hapo utakapoweza kutembea lisaa limoja mfululizo bila kupumzika. Ili kupunguza uzito, unene, utipwatipwa, mafuta yaliyozidi au kitambi, fanya zoezi la kutembea kwa miguu mwendo kasi kidogo muda wa mwezi mmoja mpaka miwili mfululizo.
 
New arrival
Hit up treadmill
Inabeba mpaka mtu mwenye uzito wa kg 130
Ina incline angle 15 degrees na kutengeneza slope
Inakimbia mpaka 12km/hour
Utaipata kwa tsh 1,700,000
Kwa wakazi wa dsm tutakuletea bure na kukufungia bure
Mikoani tunatuma pia
4b48fedb807218800d081b831ab91a19.jpg
 
Hii inabeba uzito wa juu mwisho kg 110
Speed mpka 12km/hour
Haina inclanation
Ina speaker,ina support usb,sd card
Bei ni tsh 1,400,000
Free delivery in dsm
Mikoani tunatuma pia
Contacts
0758728258
0718327776
Tufollow instagram @vifaa_vya_mazoezi
Au tembelea www.fitnessempire.co.tz
ab64353d73f27f807a22fd39a09fdbd4.jpg

82f62c0d4c9eef64bcbb1e0f33abc2f2.jpg
 
Back
Top Bottom