hatym
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 513
- 178
- Thread starter
- #21
Asikwambie mtu bhana raha ya mazoezi ujue na matokeo ya juhudi zako,inajulikana hakuna mazoezi yanashusha uzito kwa haraka na kuweka mapigo ya moyo sawa kama ya treadmill
Sasa kwa kukujali zaidi ukinunua hii treadmill tunakupa na offer ya mzani wa kiooo bureeeeeeh!!!
Treadmill hii ina sifa zifuatazo
Ina kimbia mpaka 14km/h
Iko built with speakers unakimbia huku unasikiliza miziki ya kukupa hamasa
Inatumia flash,sd card na waya wa simu
Inabeba Maximum weight 110kg
Utaipata kwa tsh 1,400,000
Wahi sasa offer hii isikupite
Wasiliana nasi kupitia
0758728258
0718327776
Email;Info@fitnessempire.co.tz
www.fitnessempire.co.tz
freedeliveryindsm
mikoani tunatuma pia
Nairobi na mombasa tunatuma pia