Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina uhakika.Bado sijamaliza uasi wa kusoma bible mkuu.I think neno sholi liko kwa bible kamasikosei..ni wanawake warembo
๐คฃ๐คฃ Tulia ackson type๐คMrs Lissu wewe ni shortie au "long person/long base"!? ๐๐๐๐
Really?I think neno sholi liko kwa bible kamasikosei..ni wanawake warembo
Yap...kama sio kwa bible basi iko kwa kamusi..miaka ya 2000 ilitumika kama neno demu..ni "mwanamke"Really?
Biblia ya Kiswahili au kilugha?Yap...kama sio kwa bible basi iko kwa kamusi..miaka ya 2000 ilitumika kama neno demu..ni "mwanamke"
๐๐..bible/kamusi search utaona...nimesahau kama ni kamusi au bibleBiblia ya Kiswahili au kilugha?
Sawa๐๐..bible/kamusi search utaona...nimesahau kama ni kamusi au bible
Sholi- shorty
nikimaanisha mademu au waremboKama alivyoandika "masholi" ni wengi.
-sholi(mmoja)=shortie/tamka shorii
-masholi(kuanzia wawili-)=shorties(shoriiz)
Ndo vilenikimaanisha mademu au warembo