Plot4Sale Jipatie kiwanja Kimara Temboni chap chap

Plot4Sale Jipatie kiwanja Kimara Temboni chap chap

mmewadadako

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2019
Posts
534
Reaction score
844
-Kiwanja kipo Kimara Temboni kwa Abas umbali wa km 2 kutoka Morogoro road

-Kina ukubwa wa sqm 700

-Barabara zinapitika vizuri

-Huduma za maji na umeme zipo

-Mazingira jirani(neighborhood) ni rafiki na ya kuvutia

BEI; mil 17
MAWASILIANO: 0765 494 548

NOTE: Muhusika ana shida ya haraka hivyo maongezi kidogo yapo.View attachment 1605755
20201019_144215.jpeg
 
-Kiwanja kipo Kimara Temboni kwa Abas umbali wa km 2 kutoka Morogoro road

-Kina ukubwa wa sqm 700

-Barabara zinapitika vizuri

-Huduma za maji na umeme zipo

-Mazingira jirani(neighborhood) ni rafiki na ya kuvutia

BEI; mil 17
MAWASILIANO: 0765 494 548

NOTE: Muhusika ana shida ya haraka hivyo maongezi kidogo yapo.View attachment 1605755View attachment 1605756
Huyo hana shida ya haraka , Mwenye shida ya haraka hua anauza miliona tano kushuka chini
 
hahaaa boss lazima kuwe na utofauti kati ya mwenye shida ya haraka anaemiliki kiwanja chanika na anaemiliki Kimara..

Unaemzungumzia wewe ni mwenye shida ya haraka wa Chanika

Sema ww ni dalali kwa hiyo lazima uvutie kwako, najua ukikutana na mwenyewe unaopoa kwa bei ya mbuzi tuu
 
Boss bei elekezi ya serikali kwa mitaa ya temboni ni (30000 to 100000) per 1 sqm ...hicho kiwanja kina sqm 700 ambapo ukizidisha na hio rate ya 30k ni milioni 21...

Ila jamaa anauza mil 17 na bado kuna maongezi kidogo boss..huoni ni nafuu
Sema ww ni dalali kwa hiyo lazima uvutie kwako, najua ukikutana na mwenyewe unaopoa kwa bei ya mbuzi tuu
cheki hio nmekuwekea bei elekezi kwa msaada zaidi boss
Screenshot_2020-10-20-09-19-10-1.jpeg
 
Inadepend na sehemu boss...kwa sehemu kama kimara ni reasonable kabisa..na viwanja vinazidi kupanda baada ya stand ya ubungo kuelekea kuhamia mbezi
Hiyo bei ni kubwa sana kwa plain surface
 
Back
Top Bottom