Jipatie kuku wa kienyeji mbegu bora kwa bei nafuu.

Jipatie kuku wa kienyeji mbegu bora kwa bei nafuu.

Hornet

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
26,892
Reaction score
52,491
Kwa mwenye uhitaji wa kuku wa kienyeji kwa ajili ya kula na kufuga awasiliane na mimi nauza wa umri tofautitofauti kwa bei nafuu na ya kuridhisha kabisa,
karibu tufanye biashara,pia ukihitaji vifaranga wanapatikana kwa order maalum.
Karibuni sana,
tuwasiliane kupitia PM.
 
Umeleta mjini sijafanikiwa kupata kuku

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Sisi wa huku Msumbiji tunawezaje kuwapata hao kuku...

Weka lokesheni ya mji uliopo tafwazaliii
 
Ntakutumia kwa wozap na kukuongezea kifaranga kabisa,karibu mkubwa watu8
Sisi wa huku Msumbiji tunawezaje kuwapata hao kuku...

Weka lokesheni ya mji uliopo tafwazaliii
 
Last edited by a moderator:
Nipo dsm utaniletea vipi masharti yapoje toa utaratibu tuelewe

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Nafahamu kwamba utaratibu wote unaujua.
Nipo dsm utaniletea vipi masharti yapoje toa utaratibu tuelewe

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom