Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amani kwenu wadau,
Lamination machine inauzwa imetumika kwa miezi mitatu tuu,
Unaweza ku laminate size yoyote mpaka ukubwa wa size ya A3.
Inafaa kwa matumizi ya stationery, ofisini, shule n.k.
Napatikana tabata segerea
Bei 100,000/= maongezi yapo.
kwa wale wa mikoani ukihitaji nakutumia kwa njia ya bus bila tatizo lolote.
Kwa mawasiliano zaidi, call 0754 669580
![]()
![]()
Amani kwenu wadau,
Lamination machine inauzwa imetumika kwa miezi mitatu tuu,
Unaweza ku laminate size yoyote mpaka ukubwa wa size ya A3.
Inafaa kwa matumizi ya stationery, ofisini, shule n.k.
Napatikana tabata segerea
Bei imepoa sasa kwa 90,000/= maongezi yapo.
kwa wale wa mikoani ukihitaji nakutumia kwa njia ya bus bila tatizo lolote.
Kwa mawasiliano zaidi, call 0754 669580
![]()
![]()
piga picha hio mashine ulioko nayo ndo uiweke hizo za Google achana nazouna maanisha nini mkuu?