Car4Sale Jipatie magari mazuri kwa bei ya mmiliki

Car4Sale Jipatie magari mazuri kwa bei ya mmiliki

Opa 4500000/=
IMG_20180729_175629.jpg
IMG_20180729_175621.jpg
IMG_20180729_175609.jpg
IMG_20180729_090247.jpg
 
TOYOTA VANGUARD DCY
YEAR 2008
KILOMETRE 190,000
Cc 2360
PETROL
BEI MILIONI 26 TZS
CALL
0718295182 WATSAP
0765505909
IMG_20180804_131845_413.jpg
IMG-20180804-WA0039.jpg
IMG-20180804-WA0034.jpg
IMG-20180804-WA0037.jpg
IMG-20180804-WA0038.jpg
 
Ndugu kama una gari lolote inauza iwe Dar es Salaam au mikoa mingine
tuwasiliane
0718295182 WATSAP
0765505909
 
Ndugu kama una gari lolote inauza iwe Dar es Salaam au mikoa mingine
tuwasiliane
0718295182 WATSAP
0765505909
 
Telegram unajiunga vipi chief
Download App ya telegram playstore ikisha maliza ku install open jisajili fata maelezo ya on screen then ready to go.

Huko utaweza unda channels za shughuli yako watu wakawa wanafollow tu hamna aja ya kumtumia kila mmoja, na unavyotumia telegram namba yako ya simu haionekani Kwa mtu unae chat nae.
 
Bora iwe group sio chanel
 
Channel haitafaa kwakuwa hatutajadiliana nawewe mtoa Mada wala kupost chochote!!
So unda group la Telegram kisha utuwekee link tujumuike kwa uwingi

Asante chief [emoji120]
Nafanyia kazi
 
ile vanguard sasa imeshuka Bei imekua Mil 25 TZS
Na picha nyingine ni hizo
IMG_20180808_124108.jpg
IMG_20180808_124039.jpg
IMG_20180808_124510.jpg
IMG_20180808_124725.jpg
IMG_20180808_124130.jpg
IMG_20180808_123942.jpg
IMG_20180808_123845.jpg
 
Ndugu tafadhari anzisha uzi wako mimi ndie wa kupost hapa, kama una gari unauza na ww ndie mmiliki nitafute namba zangu ziko juu hapo

ukianzisha uzi unakuwa sio mali yako mkuu,
kama vipi anzisha blog yako ndo ucontrol watu. jf kila mmoja yupo huru na ndiomaana ukianzisha uzi hauwezi kuucontrol any more. plz kubali matokeo mkuu maisha yaende
 
Harrier 240g, cc 2400: black, no D, unaweza kuwa nayo? Bei gani ?
 
Back
Top Bottom