hasskis07
Member
- Oct 1, 2011
- 40
- 27
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hii bado IPO?INAUZWA Toyota Kluger
Mwaka 2001
Engine Capacity: 2360
4 cylinders
Km 88672
Bei million 13 TZS
CALL
0718295182
0765505909 View attachment 875534View attachment 875536View attachment 875537View attachment 875538
imeuzwa ila ipo nyingineMkuu hii bado IPO?
Sasa ndugu hiyo unanipa mimi alafu unaitangaza mwenyewe kwenye platform yangu
Rav 4 model bado ipo? 0754734009 nichekiRAV 4 OLD MODEL
manual
3s engine
BEI MIL 5.5 TZS View attachment 887087View attachment 887088View attachment 887089View attachment 887090View attachment 887091
ImeuzwaRav 4 model bado ipo? 0754734009 nicheki
Gari hii hii Kuna mtu anaiuza mil 50 huko insta,wewe unaiuza mil mil52 sasa hapo ndo nimeshindwa kuelewa hiyo bei ya mmiliki ni ipi! kati yako na ya jamaa. Madalali bwana!Engine 1HZJ
Manufacturer Year 1999
CC 4160
Diesel
BEI MILLION 52 TZS
CALL
0718295182
0765505909
___
Instagram@bango_magari View attachment 914634View attachment 914635View attachment 914636
Uko sahihi ila ila unappokuja kwa kulaumu hauko sahihi kwani hujui kinachoendelea nyuma kati yangu na mmiliki,Gari hii hii Kuna mtu anaiuza mil 50 huko insta,wewe unaiuza mil mil52 sasa hapo ndo nimeshindwa kuelewa hiyo bei ya mmiliki ni ipi! kati yako na ya jamaa. Madalali bwana!