NGOGO CHINAVACH
JF-Expert Member
- Apr 8, 2011
- 943
- 371
una gari gani chini ya 2.5?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda akuangalizie bodaboda mkuuuna gari gani chini ya 2.5?
Gxuna gari gani chini ya 2.5?
Labda akuangalizie bodaboda mkuu
Anapata ndugu [emoji28]Labda akuangalizie bodaboda mkuu
Ndugu husione kimya nakutafutia nyingine ile niloitegemea ishauzwauna gari gani chini ya 2.5?
hiii gari imesha uzwa mkubwa????
Picha za ndani mkuuVolvo (DKS)
Manufacturer Year 2002
Cc 1800
PETROL
Km 120,000
Full AC
SEAT 5
Haijarudiwa rangi
*BEI MIL 2.5 TZS CALL
0718295182
0765505909View attachment 852567View attachment 852568View attachment 852569View attachment 852570
Sent using Jamii Forums mobile app
Imeuzwa tayari nduguPicha za ndani mkuu
sawa mkuu ngoja ntafte hiyo m mojaMkuu umeona mwenye uzi wake kasema kuna Gx hapo?? Usipende kukatisha tamaa wenzio. Wewe kama una milioni moja sema watu wakutafutie gari.
respect mkuu, Kama hutojali tupia kapicha ka hiyo gx maybe utatushawishi na sieAnapata ndugu [emoji28]
Poa, ilikuwa na cc Ngapi?Imeuzwa tayari ndugu
Hii chiefrespect mkuu, Kama hutojali tupia kapicha ka hiyo gx maybe utatushawishi na sie
Bado ipo hii gari?Premio new model
Bei Mil 8.5 TZS View attachment 846046View attachment 846047View attachment 846048View attachment 846049
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilishauzwa nduguBado ipo hii gari?