ok!, asante na karibu sana ndugi...uko vizuri sana kwenye customer care;safi sana!
..gari la benki likidondoka ntawatafuta,nimeilewa kazi!
Umejibu kwa busara sana. Una weledi na uelewa wa wateja.wala hujakosea kiongozi, ila maelewano ninayoyazungumzia apo ni ya aina nyingi, hizo bei nilizoweka hapo ni za pamoja na usafir, hivyo kama mteja akiwa na usafiri wake au anaishi jirani na eneo office ilipo ni lazima bei ishuke, pia mda mwengine mteja haitaji seti nzima bali anahitaji viwili au vitatu hivyo na hapo pia ni lazima pawe na maelewano na mwisho kabisa wateja wengi ukiwatajia bei yako kabisa mf: 890,000 kwa seti, yeye ataomba umpunguzie na husipompunguzia hata 10,000 basi ujue hatanunua uyo, hivyo sisi tunafanya biashara kulingana na mfumo wa uuzaji ulivyo, i mean wateja ndo wanaotulazimisha tuuze hivi.
asante ndgUmejibu kwa busara sana. Una weledi na uelewa wa wateja.
Uendelee hivyo hivyo utafika mbali
Mkuu hii nimeipendahizi za mchina tulikua tunaagiza kipindi cha nyuma katika office yetu ya airport jirani na benk ya NMB ila kwa sasa tumeifunga na tumesitisha uagizaji mpaka hapo hari ya uingizaji bidhaa nchini itakapokua sawa
hizo huwa hatutengenezagi ila tulikua tunaziagiza toka nje ila kwa sasa hatuziingizi sababu gharama ya uingizaji hapa nchin imekua juu kwa sasa.Mkuu hii nimeipenda
Kama hii shilingi ngapi?
karibu nduguNitakutafuta..!
asante ndugu kwa ushauri wako mzuri, hakika ubora (quarity) katika kazi zangu ndio kitu ninachozingatia, nina experience ya Siku nyingi na kazi hii, i know what my customers need, karibu sana ndugu,jitahidini kuboresha quality ya makochi yenu, mtapata wateja sana. wateja kila siku wanapenda vitu vizuri. waswahili wanasema kizuri chajiuza kibaya chajitembeza.
jitahidini kuboresha quality ya makochi yenu, mtapata wateja sana. wateja kila siku wanapenda vitu vizuri. waswahili wanasema kizuri chajiuza kibaya chajitembeza.
sory kwa kukawia kukujibu ndugu, hilo ni tsh1250,000mkuu hilo jeupe picha ya kwanza kabisa bei gani
hizo zote (3,5,7) ni tsh 1500,000 pamoja na usafiri ndani ya dar es salaamNaomba kujua bei za sofa number 3, 5 na 7 ktk hizi sofa ulizopost mwishoni