INAUZWA Jipatie mzigo mpya(SOFA SETS)

INAUZWA Jipatie mzigo mpya(SOFA SETS)

leather in aina tu za kitambaa hivyo, ukitaka leather, kitambaa kigumu, na hata kitambaa laini sisi tutakutengenezea.
 
wala hujakosea kiongozi, ila maelewano ninayoyazungumzia apo ni ya aina nyingi, hizo bei nilizoweka hapo ni za pamoja na usafir, hivyo kama mteja akiwa na usafiri wake au anaishi jirani na eneo office ilipo ni lazima bei ishuke, pia mda mwengine mteja haitaji seti nzima bali anahitaji viwili au vitatu hivyo na hapo pia ni lazima pawe na maelewano na mwisho kabisa wateja wengi ukiwatajia bei yako kabisa mf: 890,000 kwa seti, yeye ataomba umpunguzie na husipompunguzia hata 10,000 basi ujue hatanunua uyo, hivyo sisi tunafanya biashara kulingana na mfumo wa uuzaji ulivyo, i mean wateja ndo wanaotulazimisha tuuze hivi.
Umejibu kwa busara sana. Una weledi na uelewa wa wateja.
Uendelee hivyo hivyo utafika mbali
 
ba96561dbd99ac9b47833a6002264868.jpg
hizi za mchina tulikua tunaagiza kipindi cha nyuma katika office yetu ya airport jirani na benk ya NMB ila kwa sasa tumeifunga na tumesitisha uagizaji mpaka hapo hari ya uingizaji bidhaa nchini itakapokua sawa
Mkuu hii nimeipenda
Kama hii shilingi ngapi?
 
jitahidini kuboresha quality ya makochi yenu, mtapata wateja sana. wateja kila siku wanapenda vitu vizuri. waswahili wanasema kizuri chajiuza kibaya chajitembeza.
 
jitahidini kuboresha quality ya makochi yenu, mtapata wateja sana. wateja kila siku wanapenda vitu vizuri. waswahili wanasema kizuri chajiuza kibaya chajitembeza.
asante ndugu kwa ushauri wako mzuri, hakika ubora (quarity) katika kazi zangu ndio kitu ninachozingatia, nina experience ya Siku nyingi na kazi hii, i know what my customers need, karibu sana ndugu,
 
natoa shukrani kwa wale wote mliofika ofisin kwang mkaona kaz zangu na mkazinunua na wengine mkatoa mapendekezo yenu yaani jinsi mnavyotaka sofa zenu ziwe (fashion). naamin nimezitengeneza sofa zenu kwanama na ubora mlioutaka, asanteni sana na karibuni tena. creativity, innovation and quality are our priority..
 
Back
Top Bottom