INAUZWA Jipatie mzigo mpya(SOFA SETS)

Asante kushukuru[emoji106]
 
Kwa mfano mim nahitaj kiti kimoja cha watu watatu naweza kupataa? Na kwa bei gani?
 
Huu upumbavu wa kuandika bei alafu unasema maelewano yapo siupendi yaani haieleweki dalali yupi mfanyabiashara yupi,

Kwan ukiandika 750,000haipungui kuna shida gani,

Kuliko kuandika 960,000 alafu unakuja kuuza laki saba, mbadilike!
conflict of interest,sio kwa hasira hizi...
 
Kwa mfano mim nahitaj kiti kimoja cha watu watatu naweza kupataa? Na kwa bei gani?
inawezekana kabisa kiongozi, iwe cha watu watatu, wawili (love site) na hata cha mtu mmoja, bei zetu ni kulingana na aina ya sofa unayoitaka. karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…