INAUZWA Jipatie mzigo mpya(SOFA SETS)

INAUZWA Jipatie mzigo mpya(SOFA SETS)

62101a4d9f4857259b6364379f76b2ac.jpg
7e646513312bf6654a2d964f7a459faf.jpg
04d2296fd05d7e6361383e316bf90e19.jpg
f2420ad39b10c4e836675b5d171fae68.jpg
c515c001b3c28be376330b78ee4d35e5.jpg
18d28e615e60dc676ca147a88fa8b214.jpg
1d319707abd3a8b0777122a87470d017.jpg

hizi zote utazipata tena katika ubora wa uhakika na 1 year warrant
Mkuu hayo makitu ya leather nyeusi flani hivi yanapatikana kwa pesa ngapi????
 
natoa shukrani kwa wale wote mliofika ofisin kwang mkaona kaz zangu na mkazinunua na wengine mkatoa mapendekezo yenu yaani jinsi mnavyotaka sofa zenu ziwe (fashion). naamin nimezitengeneza sofa zenu kwanama na ubora mlioutaka, asanteni sana na karibuni tena. creativity, innovation and quality are our priority..
Asante kushukuru[emoji106]
 
Kwa mfano mim nahitaj kiti kimoja cha watu watatu naweza kupataa? Na kwa bei gani?
 
Huu upumbavu wa kuandika bei alafu unasema maelewano yapo siupendi yaani haieleweki dalali yupi mfanyabiashara yupi,

Kwan ukiandika 750,000haipungui kuna shida gani,

Kuliko kuandika 960,000 alafu unakuja kuuza laki saba, mbadilike!
conflict of interest,sio kwa hasira hizi...
 
Kwa mfano mim nahitaj kiti kimoja cha watu watatu naweza kupataa? Na kwa bei gani?
inawezekana kabisa kiongozi, iwe cha watu watatu, wawili (love site) na hata cha mtu mmoja, bei zetu ni kulingana na aina ya sofa unayoitaka. karibu
 
Back
Top Bottom