INAUZWA Jipatie mzigo mpya(SOFA SETS)

na hata kama una picha au fashion ya jinsi ambavyo ungependa sofa lako liwe, tuma humu au katika whatsap no yangu 0784133449 au call katika 0621038229/ 0784133449 nitakutajia bei yake na nitakushauri pia ili upate kilicho bora na hata ukitaka nije kuitazama sofa uitakayo nitakuja pia,
tunakuthamini na tunakupa kilicho bora zaidi, asante
 
Vizuri, unatumia mbao gani kuunda?
 
Vizuri, unatumia mbao gani kuunda?
kwa kawaida flame ya sofa utengenezwa kwa mbao za surplus sababu ya uzito kwani ukiweka mtondoo au mninga sofa linakua zito sana, ila kama we utataka uwekewe mbao yeyote sio tatizo, sisi tunakuhudumia kulingana na upendavyo, karibu sana
 

Majibu mazuri sana na ya kistaarabu kabisa. Na huo ndio ukomavu wa kifikra na kibiashara pia.
Hongera
 
Majibu mazuri sana na ya kistaarabu kabisa. Na huo ndio ukomavu wa kifikra na kibiashara pia.
Hongera
asante kiongozi, unajua. katika biashara tunakutana na wateja wa aina na akili tofauti hivyo changamoto wanazotupa ndio zinatufanya tunakomaa ktk masuala ya customer care
 
Sorry, namaanisha kimuonekano zinaonekana kama. Expensive but bei yake iko chini, hv zinakuwa ni seti ngapi?
nilikosea ktk uandishi wa bei,
kuhusu idadi ya site, kwa kawaida set ya sofa huwa na sit 7 yani la watu watatu 1, la wawili 1 na la mmoja mmoja mawili hiyo ndio seti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…