INAUZWA Jipatie mzigo mpya(SOFA SETS)

Yaani fresh sana, wako poa sana kwa kweli hadi nimeondoka nimeridhika.
OK! ndugu nashukuru kwa pongezi zako kwani siku zote huwa tunapenda kuwa na good customer care sababu tunajua wazi licha ya ubunifi na ubora katka kazi zetu ila lugha nzuri ni msingi mkubwa katka biashara.
 
naomba kujua bei ya kama hii . ziwe kochi mbili 2 seater na nyingine 3 seater
 
Huu upumbavu wa kuandika bei alafu unasema maelewano yapo siupendi yaani haieleweki dalali yupi mfanyabiashara yupi,

Kwan ukiandika 750,000haipungui kuna shida gani,

Kuliko kuandika 960,000 alafu unakuja kuuza laki saba, mbadilike!
Kwa tusioweza kuomba punguzo bongo tunabambikwa sana
 
Kwa tusioweza kuomba punguzo bongo tunabambikwa sana
hahahahaaa, kiongozi si wenyewe hatupendi ila mfumo wenyewe wa hizi biashara zetu ndio unatulazimu na sisi kwenda hivyo, ila we husijari ndugu biashara ni mapatano tu hivyo hii inakupa na wewe room ya kutoa bei yako unayohisi unaweza kuimudu kwa bidhaa husika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…