INAUZWA Jipatie mzigo mpya(SOFA SETS)

INAUZWA Jipatie mzigo mpya(SOFA SETS)

2eb7451fc050238865da614785903aca.jpg

Kaka hii ndio nimeikubali, nimemuona jamaa ameniambia 900grand, kwahiyo najipanga kaka.
From 0714403119
ok ndugu, japo leo sikuwepo ofisini wakati ulipokuja ila naamini vijana wangu walikuudumia vizuri ndugu, karibu sana ndugu.
 
Yaani fresh sana, wako poa sana kwa kweli hadi nimeondoka nimeridhika.
OK! ndugu nashukuru kwa pongezi zako kwani siku zote huwa tunapenda kuwa na good customer care sababu tunajua wazi licha ya ubunifi na ubora katka kazi zetu ila lugha nzuri ni msingi mkubwa katka biashara.
 
naomba kujua bei ya kama hii . ziwe kochi mbili 2 seater na nyingine 3 seater
14ef78a19480ac40deea4274ebb7587d.jpg
 
Huu upumbavu wa kuandika bei alafu unasema maelewano yapo siupendi yaani haieleweki dalali yupi mfanyabiashara yupi,

Kwan ukiandika 750,000haipungui kuna shida gani,

Kuliko kuandika 960,000 alafu unakuja kuuza laki saba, mbadilike!
Kwa tusioweza kuomba punguzo bongo tunabambikwa sana
 
Kwa tusioweza kuomba punguzo bongo tunabambikwa sana
hahahahaaa, kiongozi si wenyewe hatupendi ila mfumo wenyewe wa hizi biashara zetu ndio unatulazimu na sisi kwenda hivyo, ila we husijari ndugu biashara ni mapatano tu hivyo hii inakupa na wewe room ya kutoa bei yako unayohisi unaweza kuimudu kwa bidhaa husika
 
Back
Top Bottom