INAUZWA Jipatie mzigo mpya(SOFA SETS)

INAUZWA Jipatie mzigo mpya(SOFA SETS)

Mkuu laki mbili ipo kama ukiafiki nikutafute lakini pia sijui kama naweza kuchagua rangi itakayoendana na sofa zangu nikutumie picha fasta
nitafute ktk 0621038229 na 0679670906, na picha nitumie ktk 0784133449 nitumie hiyo picha ya sofa yako ili nione aina ya hiko kitambaa then ndo ntajua km nitaweza kutengeneza kwa bei hiyo
 
nataka kama hio jinsi ilivo but 2 siter 2 bei gani
 

Attachments

  • g.jpeg
    g.jpeg
    56.5 KB · Views: 165
  • g.jpeg
    g.jpeg
    56.5 KB · Views: 131
jipatie sofa set kwa bei nafuu zaidi katika ofisi zetu zilizopo Mtoni mtongani na Tabata Dar west Dar es salaam. pia tunafanya repair sofa za aina yoyote, tunauza moja, mawili au set nzima kulingana na mahitaji yako. utapata list na warrant ya mwaka mmoja. pia ukitaka vitanda na makabati vinapatikana katika office zetu za Keko.
d23b306c7f5ea4354c383bc04e5e1d8b.jpg
94b77abb149d8d958684792ac9c5be21.jpg
a11eb0cf9d7e1a676dbb6b55f3862d3a.jpg
49b7109d6deb13cd5325ee02e4ae4485.jpg

tsh 960,000 kwa set pamoja na usafiri popote ndani ya dar es salaam pia maelewano yapo, na kwa walio nje ya dsm tutaelewana kutokan na umbali

CONTACTS:
+255784133449/
+255621038229.
eliusmoris2@gmail.com
Asante. Kazi Zako Ni Nzuri. Dodoma mna ofisi mkuu?
 
Kumbe ni ya kienyeji mi nilijua yale ya kutoka kunako
 
hooooo!, kweli ndugu nimekosea kidogo hapo, ilitakiwa niweke 1700,000 na sio hiyo 170,000 niliyoiweka, samahan na asante kwa kunirekebisha
Hesabu hukusoma ukaelewa
1300,000 [emoji777] = 1,300,000[emoji736]
1700,000 [emoji777] = 1,700,000[emoji736]
 
Back
Top Bottom