ELIAS MICHAEL MORRIS
JF-Expert Member
- Sep 26, 2016
- 385
- 298
- Thread starter
- #121
inategemea na aina ya kochi lenyewe pamoja na ukubwa wake afu ndio ntakwambia bei yakeMkuu bei ya kochi moja ni bei gani maana umetaja bei seti tu .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inategemea na aina ya kochi lenyewe pamoja na ukubwa wake afu ndio ntakwambia bei yakeMkuu bei ya kochi moja ni bei gani maana umetaja bei seti tu .
inategemea unataka kuwekeza kwa mda gani na utatoa kwa awamu ngapi,Mkuu naweza kuwekeza
tatizo binadam hawajazoea utaratibu huo Wa bei fixed. ndo maana super market zipo kwenu nyie wachache mnsotaka bei fixed, local market mtuachie sisi hapo maelewano hats Mimi naweza miliki sofa ya 150000Huu upumbavu wa kuandika bei alafu unasema maelewano yapo siupendi yaani haieleweki dalali yupi mfanyabiashara yupi,
Kwan ukiandika 750,000haipungui kuna shida gani,
Kuliko kuandika 960,000 alafu unakuja kuuza laki saba, mbadilike!
Wingi wa nyumbu kama hawa ndo wanaoifanya Tanzania kubaki gizani mpaka leoHesabu hukusoma ukaelewa
1300,000 [emoji777] = 1,300,000[emoji736]
1700,000 [emoji777] = 1,700,000[emoji736]
Mkuu hiyo nyeusi namba tano mpaka ifike MTWARA Masasi itagharimu bei gani kwa seti nzimahizi zote ni tsh 900,000 kwa seti nzima![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mkuu hiyo nyeusi namba tano (nyesi) mpaka ifike MTWARA Masasi itagharimu bei gani kwa seti nzimahizi zote ni tsh 900,000 kwa seti nzima![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
inategemea unataka kuwekeza kwa mda gani na utatoa kwa awamu ngapi,
mkuu weka na vitanda tununue fastanashukuru kiongozi, kufanya hii biashara kwa muda mrefu kumenifanya nijue vizuri maswala ya customer care.
ok, nitafute katika no zangu hizoKama awamu mbili ivi
nitafute katika no zangu nduguMkuu hiyo nyeusi namba tano (nyesi) mpaka ifike MTWARA Masasi itagharimu bei gani kwa seti nzima
ok, nitafute katika no zangu hizo
mawasiliano yangu ni 0784133449/![]()
Hiyo 2-seater ni sh ngapi? Nipe mawasiliano yako